Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,723
Wanabodi
Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx
Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za mwaka mpya.
Happy New Year!
Paskali
Kufuatia ujio wa fani ya uchawa, ukimtaja tuu Rais Samia kwa jambo lolote, unaitwa chawa wa mama,
Naomba ku declare interest
Rejea za mtoa mada kuhusu Rais Samia kabla hata hajawa Rais wa JMT. Tulianza nae toka 2010
Rais wa JMT, Samia Suluhu Hassan, yuko hewani live mubashara, kuhutubia taifa kuuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
View: https://www.youtube.com/live/nNvsNM8Esw8?si=PVpOlaVydbZ45elx
Karibuni
Na sababu leo ndio mwisho wa mwaka, hakuna ubaya na mimi nikiweka salaam zangu za mwaka mpya.
Happy New Year!
Paskali
Kufuatia ujio wa fani ya uchawa, ukimtaja tuu Rais Samia kwa jambo lolote, unaitwa chawa wa mama,
Naomba ku declare interest
Wanabodi
Kwa Maslahi ya Taifa kwenye gazeti la Nipashe la leo.
Kufuatia kuibuka kwa kada mpya ya ajira ya uchawa, ambayo nasikia inalipa sana, kila mtu akisifia tuu uongozi au kiongozi anaitwa chawa na kunyooshewa kidole kuwa ananyemelea teuzi!.
Wana JF Wenzangu, hebu tuacheni ushamba!, Media kumpongeza Rais kwa kazi nzuri na kufanya vema, sio kujipendekeza au kujikombakomba kunyemelea uteuzi!, rais wetu pia ni binadamu kama binadamu mwingine yeyote, akifanya vema, anastahili pongezi as encouragement, aendelee kufanya mazuri zaidi na zaidi, lakini baadhi ya watu...

- New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
- Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020
- Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

- "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu?