Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

Hii nchi imeiva kila kona...... RIP CCM


Asante Kamanda wa Anga, kazi nzuri sana....
 
Ngojea tusikie porojo za dj sasa

ImageUploadedByJamiiForums1425748330.097928.jpg

Mgonjwa wenu naona kapona
 
Maccm muwe na ushirikiano basi! Umemuacha Kinana peke yake mbugani akisaka fisi wa mkutano wa kesho unakuja huku kuchongachonga! Hebu kamsaidie huko wewe gamba!
Kamanda Sam sikuhizi haitwi mikutano ya fisi inaitwa mikutano yamafisi
 
niko uwanjani hapa makamanda wanagonga viroba hatari, nasikia vimetoka kiwandani kwa sugu vinaitwa DEIWAKA GIN.
Familia ya huyu jamaa inajua hatorudi tena bungeni .
 

Attachments

  • attachment-2.jpeg
    attachment-2.jpeg
    4.4 KB · Views: 403
Freeman Mbowe anafanya kazi iliyotukuka! Mungu azidi kumbariki na kumlinda.
 
Kinana yuko busy anaitukana na kuilaumu serikali ya ccm kwenye mikutano ya hadhara utazani ccm no chama cha upinzani. Viongozi Wangu wa chama taifa kinana akitoa mguu tu Dodoma shukeni kama radi mkafute uongo anausambaza huko. Tabora hongereni sana tuko pamoja.
 
kama kamanda mbowe anaongea porojo je vuvuzela nape, aliyesema chadema wanalinda kura zipi eti watapgiwa na nani? Huu c ujinga kwan kura za serikal za mitaa mfano juz kati huko sumbawanga ambapo maccm walibumundwa 37 kwa 5, je hzo zlpgwa na nani? Sasa hzo zote na zle zlzopgwa tz nzma ndo cdm wanataka linda pia uchaguz mkuu, SASA KWEL HUYU NAPE ALIKUWA ANAONGEA NN HIKI MAVI C MAVI sjui n nini aisee? Bt kapokee buku 7 yako bwana.

Hawa ccm wao wanatumia fisi/uchawi sana wamekuwa wakifanya siri lakini sasa imedhihirika walipoleta fisi kwenye mkutano wao

Kamanda mbowe ameshawamaliza maccm na washirika wao.
 
Kinana yuko busy anaitukana na kuilaumu serikali ya ccm kwenye mikutano ya hadhara utazani ccm no chama cha upinzani. Viongozi Wangu wa chama taifa kinana akitoa mguu tu Dodoma shukeni kama radi mkafute uongo anausambaza huko. Tabora hongereni sana tuko pamoja.

Kama atafika jimboni kwako waambie wananchi wamuulize kama yeye mtendaji mkuu wa chama anayesimamia chama anapolalamika anamaanisha nini? Au ndo kusema sasa hicho chama kina wenyewe yeye ni kama tu upinzani?

Lakini vip mbona wale mawaziri yeye na kinana waliwaita mizigo sasa wamepandishwa chart upo wapi uimara wa chama kuisimamia serikali hata watake tena kupewa ridhaa?
 
Haya mataira ya ccm wakiona hizi picha wanachanyikiwa kabisa wao mpaka wapeleke fisi kwenye mikutano yao CCM ipo kwenye mstari wa kifo
 
Kinana yuko busy anaitukana na kuilaumu serikali ya ccm kwenye mikutano ya hadhara cm no chama cha upinzani. Viongozi Wangu wa chama taifa kinana akitoa mguu tu Dodoma shukeni kama radi mkafute uongo anausambaza huko. Tabora hongereni sana tuko pamoja.
Kinana ni mnafiki mkubwa anavyolalamika utafikiri yeye ndo katibu mkuu wa CHADEMA au CUF.
 
Maccm muwe na ushirikiano basi! Umemuacha Kinana peke yake mbugani akisaka fisi wa mkutano wa kesho unakuja huku kuchongachonga! Hebu kamsaidie huko wewe gamba!
Inabidi kuwa macho na kinana isije kuwa baada ya mkutano hao fisi hawarudishi mbugani badala yake anawapandisha pipa wakiwa hai kufumba nakufumbua hatuna fisi hata mmoja kwenye mbuga.
 
Mohamedi Mtoi,
Hakika mkuu unajitahidi sana katika nafasi ulopewa na nadhani wewe umelelewa na kufundwa vizuri kisiasa kiasi kwamba unayoyaandika humu yanajenga imani za watu. Na kila napokusoma hunifurahisha sana kwa sababu unaandika hoja zenye msingi bora wa ujenzi wa matumaini kwa wale walopoteza na kuongeza imani ya wale waloamini. wanikumbusha miaka ya 2006 JF ilipokuwa ukumbi wa taaluma na hoja za SIASA.

Ila penye ukweli mkuu lazima tupige soga kwa kuulizana bila unafiki. Hivi kweli Chadema leo ni wa kutegemea UKAWA ilotokana na mpasuko wa katiba mpya? Hivi mwananchi ambaye hakubaliani na serikali 3 na hakubaliani na hoja za Ukawa ktk hili japo mwanachama wa Chadema atasimama wapi? Je ni kweli UKAWA wamepata umaarufu kuliko Chadema na tumaini la wananchi liwe serikali ya UKAWA ambayo haina Mwongozo!

Na kama mwongozo upo, ni makubaliano yapi yalowafungamanisha hasa ukizingatia karaha za wananchi ktk maswala ya Kiitikadi, sera na hata miiko na maadili yatokanayo na imani, mila na desturi za watu. Ni misukomo gani zaidi ya kikatiba na kiutawala inawaunganisha na kuwa chombo kimoja ambacho kitaunda serikali yenye vision na mtazamo mmoja. Nategemea utanijibu ili nipate kuuelewa huo umoja wa UKAWA ndani ya serikali 3.
 
Back
Top Bottom