Voice of Mara
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 358
- 127
safi sana.Chama cha demokrasia na maendeleo(Chadema)chini ya kamanda Mbowe leo wamefanya mkutano mkubwa katika mji wa Tabora hii ni mudendelezo wa ziara nchi nzima ya kuimarisha chama Tanzania.hakuna kulala mpaka mccm waondoke madarakani