Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,446
- 1,357
Natoa wito TANAPA wawe macho na kinana.Muda huu Kinana kazama mbugani anatafuta fisi kwa ajili ya mkutano wa kesho!
Natoa wito TANAPA wawe macho na kinana.Muda huu Kinana kazama mbugani anatafuta fisi kwa ajili ya mkutano wa kesho!
Dj bado hajaja mpaka sasa hivi sijui yuko pande za wapi
Ati Nape anasema hicho chama kinakufa kila kona ya nchi! Picha hizo nijibu tosha!Magamba ayakati yakiona hizi pc wanaku kona
Magamba ayakati yakiona hizi pc wanaku kona
niko uwanjani hapa makamanda wanagonga viroba hatari, nasikia vimetoka kiwandani kwa sugu vinaitwa DEIWAKA GIN.
wanachigoma, wanasema ulakoze chani ((yaani asante sana/ubarikiwe) utupe na madini zaidi kamanda anayotema mh mbowe, huyu mtu mungu ampe maisha marefu kafanya kazi ya kutuka sana huyu kamanda.
Mkuu Mohamed Mtoi, asante kwa hii taarifa!,
G[IMG said:https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=232714&d=1425738398[/IMG]
![]()
![]()
![]()
Hii ni nyomi kweli kweli!, kitu ninachoikubali Chadema bila ubishi, ni funika bovu kwenye umati wa watu kwenye mikutano ya Chadema!, only if, umati hizi, zingekuwa directed reflected kwenye ballot boxes!, its very unfortunate, hakuna any direct relations za umati mkubwa wa watu na matokeo ya kura!, zile T-shirt na kofia, na ile shibe ya mlo wa siku moja, ndio the magic!, na sio umati!.
All the best katika amsha amsha, only isije kuwa, badala ya kuamsha, amsha, ndio kwanza mnawaamshia!.
Pasco
Wataingia lumumba fc na kukanusha eti hizo picha ni za mwaka 2010.
Hii 2010
kamanda mtoi tutakua wote lushoto kama kweli ile nia yako ikitimia!
sioni red briged hapo au leo hawapo?huwa wananipa raha sana walivyo serious!
Vitu hivyo huwa vipo sana kwenye mikutano ya majangili...
peeeeeeooooples............!
naomba kujuzwa salamu ya UKAWA, tafadhali
View attachment 232749View attachment 232750
Kwa hali hii MaCCM lazima yapige kelele za kuomba msaada wa kuchakachua katiba. Bye! Bye! CCM Tabora...
View attachment 232749View attachment 232750
Kwa hali hii MaCCM lazima yapige kelele za kuomba msaada wa kuchakachua katiba. Bye! Bye! CCM Tabora...
Nguvu ya umma..
Mccm hoi!nguvu ya umma..
Tumeanza na Mungu, tupo na Mungu natutamaliza na Mungu