Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Kapona?? Si unauon Ndugai hapo akiongea kwa lugha ya ishara!
Anatia huruma sana kinana babu wa watu
Kapona?? Si unauon Ndugai hapo akiongea kwa lugha ya ishara!
Mohamedi Mtoi,
Hakika mkuu unajitahidi sana katika nafasi ulopewa na nadhani wewe umelelewa na kufundwa vizuri kisiasa kiasi kwamba unayoyaandika humu yanajenga imani za watu. Na kila napokusoma hunifurahisha sana kwa sababu unaandika hoja zenye msingi bora wa ujenzi wa matumaini kwa wale walopoteza na kuongeza imani ya wale waloamini. wanikumbusha miaka ya 2006 JF ilipokuwa ukumbi wa taaluma na hoja za SIASA.
Ila penye ukweli mkuu lazima tupige soga kwa kuulizana bila unafiki. Hivi kweli Chadema leo ni wa kutegemea UKAWA ilotokana na mpasuko wa katiba mpya? Hivi mwananchi ambaye hakubaliani na serikali 3 na hakubaliani na hoja za Ukawa ktk hili japo mwanachama wa Chadema atasimama wapi? Je ni kweli UKAWA wamepata umaarufu kuliko Chadema na tumaini la wananchi liwe serikali ya UKAWA ambayo haina Mwongozo!
Na kama mwongozo upo, ni makubaliano yapi yalowafungamanisha hasa ukizingatia karaha za wananchi ktk maswala ya Kiitikadi, sera na hata miiko na maadili yatokanayo na imani, mila na desturi za watu. Ni misukomo gani zaidi ya kikatiba na kiutawala inawaunganisha na kuwa chombo kimoja ambacho kitaunda serikali yenye vision na mtazamo mmoja. Nategemea utanijibu ili nipate kuuelewa huo umoja wa UKAWA ndani ya serikali 3.
Baada ya maajabu ya mungu hutaamini mtaangukia viuno aibu kubwa sana itawakuta tafuteni vikundi vya kuwafariji ntacheka sana wakati ukifika.Kwa kweli watu wapo tayari kuiondoa ccm.
Ni kazi tu ya viongozi kuendelea kuchapa kazi.
Viongozi wenye makengeza huwa kivutio sana kuangalia kwenye mikutano lakini siyo wa kuwapigia kura kuwa wabunge wala Rais watabaki kuwa wapiga debe tu.
Daaaa! Naona CHADEMA inakufa kila mahali. "Nimebahatika kuwa kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM" Kila tulikopita tumeona kila dalili za jinsi upinzani unavyokufa nchini. Hii ni pamoja na CHADEMA wenyewe!!
CC: Nape Nnauye, Mwigulu Nchemba, laki si pesa, Simiyu Yetu, Lizabon,Ruttashoborwa, Ritz 1, FaizaFoxy
Dah sasa hapa ndipo napokwazika kama vile kanyaboya la mtaa wa Congo, maanake inaonyesha watu mnaunga mkono UKAWA na jitihada zote hizi pasipo kujua kilichomo isipokuwa Lipumba.Mkuu swali hilo linahitaji muda mrefu kulijibu naomba mtupie mh profesa Lipumba atalijibu kwa ufasaha.Mtoi mwachie muda aendelee kutujuza yanayo jili ktk uwanja wa mapambano.
kwa wapiga kampeni kama wwe kweli Lowasa kazi anayoniko uwanjani hapa makamanda wanagonga viroba hatari, nasikia vimetoka kiwandani kwa sugu vinaitwa DEIWAKA GIN.
Dah sasa hapa ndipo napokwazika kama vile kanyaboya la mtaa wa Congo, maanake inaonyesha watu mnaunga mkono UKAWA na jitihada zote hizi pasipo kujua kilichomo isipokuwa Lipumba.
Wazungu wanasema maisha ni kama box la chocolate, wakiimanisha ya kwamba Mambo yanaweza kuwa sio kama yanavyoonekana, hujui yaliyomo kama usivyoweza kufahamu kilichomo ndani ya box la Chocolate. Kwa vyovyote vile mimi natumaini Mtoi anaelewa japo kidogo kuhusu Mwongozo wao maanake pasipo hili kuna hatari kubwa ya kusambaratika. Ni rahisi kusema haiwezekani lakini kama kila kiongozi ana vision yake kana kwamba ni waamba ngozi..sijui huu usiri nkama utakuja saidia!
- Mtakuja nambia.