Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,993
- 25,332
Dj bado hajaja mpaka sasa hivi sijui yuko pande za wapi
...tezi dume nalo ni mzigo
Dj bado hajaja mpaka sasa hivi sijui yuko pande za wapi
Dahh wewe ni Comedian aisee hivi umeajiriwa kwa kazi hii au ni vip maana daahhh Habana mkuu... jichunguze tena kuna kitu hakiko sawa hata kama tunatumia fake ID ila mambo yako hapana mkuu...
Mkuu Mohamed Mtoi, asante kwa hii taarifa!, kitu ninachoikubali Chadema bila ubishi, ni funika bovu kwenye umati wa watu kwenye mikutano ya Chadema!, only if, umati hizi, zingekuwa directed reflected kwenye ballot boxes!, its very unfortunate, hakuna any direct relations za umati mkubwa wa watu na matokeo ya kura!, zile T-shirt na kofia, na ile shibe ya mlo wa siku moja, ndio the magic!, na sio umati!.
All the best katika amsha amsha, only isije kuwa, badala ya kuamsha, amsha, ndio kwanza mnawaamshia!.
Pasco
Wakuu.
Kama kawaida, muda huu tunafanya mkutano wa amsha amsha hapa makao makuu ya kanda ya Magharibi Tabora, kanda hii inaundwa na mikoa ya kigoma, Katavi na Tabora.
Mkutano huu ni maalum kwa ajili kuamsha hamasa ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Nitawajuza zaidi...[/QUO
Hiiiiii sifa , au mwaka 2010
Wakuu.
Kama kawaida, muda huu tunafanya mkutano wa amsha amsha hapa makao makuu ya kanda ya Magharibi Tabora, kanda hii inaundwa na mikoa ya kigoma, Katavi na Tabora.
Mkutano huu ni maalum kwa ajili kuamsha hamasa ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.
Yanayojiri
- Ukiingia unakutana ma sura ya kilio cha umaskini ccm wameuwa kilimo kwa kuuwa viwanda vya nguo mfano Mwatex.
- Wakulima wa Tumbaku na pamba kwenye maeneo mengi ya Tabora leo hawana matumiani tena ya kuendelea na kilimo, kinana alikuja hapa akalia kinafiki leo matatizo ya wakulima yako palepale.
Nitawajuza zaidi...
Dahh wewe ni Comedian aisee hivi umeajiriwa kwa kazi hii au ni vip maana daahhh Habana mkuu... jichunguze tena kuna kitu hakiko sawa hata kama tunatumia fake ID ila mambo yako hapana mkuu...
kwa hiyo huniamini au?
naomba niulizie uwepo wa fisi ubwabwa na maroli au uwepo wa msanii wa bongoflavour
Hii 2010
naomba niulizie uwepo wa fisi ubwabwa na maroli au uwepo wa msanii wa bongoflavour
Ngojea tusikie porojo za dj sasa
Mkuu Mohamed Mtoi, asante kwa hii taarifa!,
Mimi nawewe tuhamasishe watu wajiandikishe...G[IMG said:https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=232714&d=1425738398[/IMG]
![]()
![]()
![]()
Hii ni nyomi kweli kweli!, kitu ninachoikubali Chadema bila ubishi, ni funika bovu kwenye umati wa watu kwenye mikutano ya Chadema!, only if, umati hizi, zingekuwa directed reflected kwenye ballot boxes!, its very unfortunate, hakuna any direct relations za umati mkubwa wa watu na matokeo ya kura!, zile T-shirt na kofia, na ile shibe ya mlo wa siku moja, ndio the magic!, na sio umati!.
All the best katika amsha amsha, only isije kuwa, badala ya kuamsha, amsha, ndio kwanza mnawaamshia!.
Pasco