Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

Live: Mkutano wa CHADEMA uwanja wa town School Tabora

Mh lipumba ni mwenyekiti mwenza wa ukawa,wasiwasi wako ni kitu gani?kama una nia mzuri ya kuuliza hili swali utapata majibu yake inavyotakiw.Ila kama umetumwa na mihemuko ya itikadi hasa ya ccm utabaki boga tupu kwa kichwa...


.....akija bongo atafute nyumba ya kupanga !!!
 
SISI wananchi wa JMT tunaitaji utendaji mpya wa kuongoza serikali!!! tunaitaji maendeleo sana...haiwezekani tuna madini ambayo wala hatuoni umuhimu wake!!! wanagawana wachache tuu...PAMOJA TUNAWEZA!!TUUNGANE KUTOKOMEZA UKOLONI MWEUSI!!!
 
....Tabora are now talking UKAWA.
 
SISI wananchi wa JMT tunaitaji utendaji mpya wa kuongoza serikali!!! tunaitaji maendeleo sana...haiwezekani tuna madini ambayo wala hatuoni umuhimu wake!!! wanagawana wachache tuu...PAMOJA TUNAWEZA!!TUUNGANE KUTOKOMEZA UKOLONI MWEUSI!!!
Kweli kabisa wanagawana watu wa ukoommoja, yaani Kikwete, Salma, Ridhiwani, na Binamu zake, Membe, Kawambwa, Ghasia, Khajati. wengine ni wajinga hawajui wanachokishabikia.
 
Tuko kila mahali na tutawafikia watanzania kwenye kila Kona kwenye mfumo wetu wa kanda 10 za kichama
 
Huo mkutano niwasiku nyingi zilizopita. Mkutano huo niwa mwezi wa Tatu. Umeudanganya uma
 
Wakuu.

Kama kawaida, muda huu tunafanya mkutano wa amsha amsha hapa makao makuu ya kanda ya Magharibi Tabora, kanda hii inaundwa na mikoa ya kigoma, Katavi na Tabora.

Mkutano huu ni maalum kwa ajili kuamsha hamasa ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura.

Yanayojiri
Mkuu Mohamed Mtoi, asante kwa hii taarifa!,
Hii ni nyomi kweli kweli!, kitu ninachoikubali Chadema bila ubishi, ni funika bovu kwenye umati wa watu kwenye mikutano ya Chadema!, only if, umati hizi, zingekuwa directed reflected kwenye ballot boxes!, its very unfortunate, hakuna any direct relations za umati mkubwa wa watu na matokeo ya kura!, zile T-shirt na kofia, na ile shibe ya mlo wa siku moja, ndio the magic!, na sio umati!.

All the best katika amsha amsha, only isije kuwa, badala ya kuamsha, amsha, ndio kwanza mnawaamshia!.

Pasco

Mohamedi Mtoi,
Hakika mkuu unajitahidi sana katika nafasi ulopewa na nadhani wewe umelelewa na kufundwa vizuri kisiasa kiasi kwamba unayoyaandika humu yanajenga imani za watu. Na kila napokusoma hunifurahisha sana kwa sababu unaandika hoja zenye msingi bora wa ujenzi wa matumaini kwa wale walopoteza na kuongeza imani ya wale waloamini. wanikumbusha miaka ya 2006 JF ilipokuwa ukumbi wa taaluma na hoja za SIASA.

Ila penye ukweli mkuu lazima tupige soga kwa kuulizana bila unafiki. Hivi kweli Chadema leo ni wa kutegemea UKAWA ilotokana na mpasuko wa katiba mpya? Hivi mwananchi ambaye hakubaliani na serikali 3 na hakubaliani na hoja za Ukawa ktk hili japo mwanachama wa Chadema atasimama wapi? Je ni kweli UKAWA wamepata umaarufu kuliko Chadema na tumaini la wananchi liwe serikali ya UKAWA ambayo haina Mwongozo!

Na kama mwongozo upo, ni makubaliano yapi yalowafungamanisha hasa ukizingatia karaha za wananchi ktk maswala ya Kiitikadi, sera na hata miiko na maadili yatokanayo na imani, mila na desturi za watu. Ni misukomo gani zaidi ya kikatiba na kiutawala inawaunganisha na kuwa chombo kimoja ambacho kitaunda serikali yenye vision na mtazamo mmoja. Nategemea utanijibu ili nipate kuuelewa huo umoja wa UKAWA ndani ya serikali 3.

Pole sana Mkuu Mkandara, tuna ma great thinkers wengine humu, tuko nao, bali hatuwezi kuiona the greatness yao, ila wanapotangulia mbele ya haki, unapopitia kuisoma michango yao ndipo unagundua na unakubali they were ma Ma Great Thinkers!.

Mtoi was one of them!.
He was one of ma GT wa humu jf!.

Rip Kamanda Mohamedi Mtoi!.

Pasco
 
Back
Top Bottom