GAMBAMALA DE MARCUS
Member
- May 21, 2013
- 13
- 0
MAKAMANDA TUPIENI PICHA ZA MAANA NASI TUONE TULIO MBALI
:yield::yield::yield::yield::yield:
:yield::yield::yield::yield::yield:
Huyo adui yake yoyote ni MTU MUISLAMU. Na mapambano yake popote alipo ni kuhakikisha uislamu unapotea katika taswira ya hapa Nchini kwetu.
Kasahau kwamba Mwl. Nyerere mwenyewe baada ya nchi hii kumshinda aliona ni busara kumuachia MUISLAMU aongoze japokuwa walikuwepo wakristo wengi ktk ambao wangeweza kuwa na sifa ya URAIS.
Nchi hii ni ya muungano na kwabahati mbaya/nzuri upande mmoja wa muungano asilimia 99% ya watu wake ni waislamu na hata huku bara nusu ya watu wake ni waislamu so ni vigumu sana kujaribu kuwatenga waislamu ktk harakati za kisiasa hapa nchini ila chamsingi ni kushirikiana nao na kama wakitengwa huwa mara moja wanaungana kupambana na adui wanaemuona anataka kuwadhuru.
Kwa CDM, Ushauri wangu wa bure kumvua zitto uongozi ni uhaini mkubwa kwa waislamu hapa nchini na kwa taarifa tu ni kwamba watakua tayari kushirikiana pamoja kuhakikisha CDM haichikui hii nchi.
Msigwa hajielewi na matamshi yake mabovu
Chadema inajisafisha. Wizi mtupu haiwezi kufufuka
Dr.W.Slaa hivi ule mjadala ulishaufungua?
Mimi namshangaa sana Much Msigwa? Ameacha kuhubiri injili anakaa kujihusisha na siasa za maji taka. Nimetoka zangu Ngarenarok kuja kumsikiliza maana yake akikuaga mchungaji Wang - Iringa nimesikitika sana kuona anongea uongo
lema;
kuna dhambi mbaya ilienezwa na ccm, dhambi mbaya ya udini, kikwete anapita misikitini kuwagawa waislamu, huku lowasa sasa anapita makanisani kuliko mwinjilisti yeyote kuhubiri udini
Lema;
Yule boya wa Singida alishirikiana na Zitto kufanya mizengwe kumwekea pingamizi mgombea wa chadema ili Dewji apite bila kupingwa
yani lema na tundulisu ndio wachimba kaburi la chadema.
Vip ameshamtaja aliye lipua ofisi?
binadamu wengine tumeumbwa kusahau mapema sana kama kuku, nani alimjua msigwa kabla ya mwaka 2010? ameingia cdm majuzi amewakuta waliokikuza chama hadi yeye kuvutiwa nacho na inawezekana kabisa wana iringa walichagua chama ambacho kwa kiasi kikubwa kimekuzwa na huyo ambaye leo msigwa anamfananisha na mama mjamzito!!
Acha upumbavu wewe. Serikali kwa kupitia msajili wa vyama vya siasa ndo wameiomba Chadema kuhamasisha watu waje uwanjani.
Chadema chama kubwa wewe.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mkuu mwambie lema alete ushahidi.
nyie chadema ni washamba sana. Hivi hakuna cha kuwambia wananchi zaidi ya kumsema zitto kila mkutano?
Mmepoteza dira hakika yani mnatumia muda mwingi kuongelea mambo ya zitto.
Kwa style hii labda sanawari ndio ikulu mnayo iota.
Sijaona wabunge wajinga kama waliopo chadema ukimtoa mnyika tuu.
Mzimu wa zitto una watesa sana.
mkuu mwambie lema alete ushahidi.
LEMA yuko CHADEMA sio kwa mujibu wa katiba bali kwa fadhila za MBOWE.
Kamanda umemmaliza huyo mbwiga Chabruma manyang'au ya magamba yanaharisha tu hovyo hovyo hapa jukwaani..CDM Mwanza tumefanya majuzi tu hapa mbugani bugando,huko Tarime napo kamanda Mawazo yupo anakamua,Heche yupo Mbeya na Dr wa ukweli Rais mtarajiwa Slaa atakuwa ndani ya Kahama leo hii.Hicho unachokiongelea nakiona kama wivu tu wa kike tena unaotolewa na mwanamke malaya like u.