live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

Mchungaji Msigwa anasema CHADEMA hapendwi mtu bali sera, anashukuru watu wa Arusha kuwa majasiri nakufanya maamuzi muhimu.
Anamshukuru Kamanda Lema kwakukwapua Laptop ya Mwigamba ambayo imetusaidia kuwafahamu wasaliti

Updates;
Lema anaongea, anasema sina sababu ya kumzungumzia dogo Zitto, sana sana ninachoweza kusema ni kwamba napendekeza kamati kuu imvue Zitto uanachama, aende mahakamani awe mbunge wa mahakama
 
Lema;
Yule boya wa Singida aliyejiuzulu jana alishirikiana na Zitto kufanya mizengwe kumwekea pingamizi mgombea wa chadema ili Dewji apite bila kupingwa
 
Kuna mtu kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi.
 
Lema;
Kamati kuu imemlea sana Zitto, alitakiwa afukuzwe ndani ya chama toka 2010.

Hawa jamaa siyo tu wavuliwe cheo, wanatakiwa wafukuzwe kwenye chama
 
JF.......!

Kutokana na sakata linaloendelea hivi sasa juu ya kuvuliwa uongozi Zitto kabwe na Dr.Kitila, CHADEMA,

Hatimaye leo mbunge Msigwa atoa ya moyoni na kumfananisha Zitto na mama mjazito ambaye anavumulia shida nyingi wakati wa mimba lakini baada ya kuzaa na kumlea mtoto anaamua kumuuwa, hivyo dawa ya mtu kama huyo ni kukamata na kuweka ndani hata kama mtoto alimzaa yeye,

Pia Mbunge Msigwa amewahasa wanachadema kutokuogopa kumtoa nyoka ndani hata kama wanaishi ktk nyumba ya vioo.

Source: Mbunge Msigwa ktk mkutano wa CDM Arusha, leo.
 
Pamoja na siasa, mwogope Mungu...fanya suluhisho na Mungu wako mapema, vinginevo utawiwa jambo naye

Kuna mtu kanisimamisha mitaa ya Kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

Nikamwambia kama mambo ya kuhusu Zitto kawaulize Chadema wenyewe.

Akasema sio hivyo.

Nikamwambia uliza.

Akaniuliza "hivi kwanini Chadema Arusha wamechoma ofisi yao?"

Nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

Nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya Chadema?

Akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya Chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae Chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

Nikamwambia asihofu, Arusha tatizo ni Lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

Kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi.
 
Lema;
Kuna dhambi mbaya ilienezwa na ccm, dhambi mbaya ya udini, Kikwete anapita misikitini kuwagawa waislamu, huku Lowasa sasa anapita makanisani kuliko mwinjilisti yeyote kuhubiri udini
 
Katika mkutano huo msigwa amesema atuwezi kuvumilia wasaliti kwasababu usaliti ulianza enzi za Yesu hivyo msaliti yeyote ndani ya chama hata kama ni yeye ni kupiga chini. Kwasababu wasaliti siku zote awashindi ndio maana Yuda baada ya kumsaliti Yesu alienda kujinyonga.
 
TUMECHOKAAAAAAAAAAAAA!!!!
INATOSHA SASA!! Sasa hata vyura wa mferejini nao wanaanza kuiga neno hili!! Kwenye magazeti chadema,redio chadema,barabarani chadema,kwenye mitandao ndiyo balaa kabisa! Ah! Itoshe sasa.
 
kumbe lowasa naye yumo kwenye mchezo ! Asante Lema , kila kitu kitafahamika tu .
 
Back
Top Bottom