live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

CDM Mwanza tumefanya majuzi tu hapa mbugani bugando,huko Tarime napo kamanda Mawazo yupo anakamua,Heche yupo Mbeya na Dr wa ukweli Rais mtarajiwa Slaa atakuwa ndani ya Kahama leo hii.Hicho unachokiongelea nakiona kama wivu tu wa kike tena unaotolewa na mwanamke malaya like u.
mi ntakufa Slaa akiwa Rais!
 
Huyo adui yake yoyote ni MTU MUISLAMU. Na mapambano yake popote alipo ni kuhakikisha uislamu unapotea katika taswira ya hapa Nchini kwetu.

Kasahau kwamba Mwl. Nyerere mwenyewe baada ya nchi hii kumshinda aliona ni busara kumuachia MUISLAMU aongoze japokuwa walikuwepo wakristo wengi ktk ambao wangeweza kuwa na sifa ya URAIS.

Nchi hii ni ya muungano na kwabahati mbaya/nzuri upande mmoja wa muungano asilimia 99% ya watu wake ni waislamu na hata huku bara nusu ya watu wake ni waislamu so ni vigumu sana kujaribu kuwatenga waislamu ktk harakati za kisiasa hapa nchini ila chamsingi ni kushirikiana nao na kama wakitengwa huwa mara moja wanaungana kupambana na adui wanaemuona anataka kuwadhuru.
Kwa CDM, Ushauri wangu wa bure kumvua zitto uongozi ni uhaini mkubwa kwa waislamu hapa nchini na kwa taarifa tu ni kwamba watakua tayari kushirikiana pamoja kuhakikisha CDM haichikui hii nchi.

Udini ni karata ya ccm na ilishashindwa kitambo hasa ndani ya Ars,ref:uchaguzi wa madiwani,na ungekuwapo hapa uone WAISLAM tulivyo wengi usingeyaandika haya mawazo mgando."Waislam wa Ars wanajitambua na wanamjua adui yao namba moja ni ccm.
 
\

Mch.msigwa ndo kapanda anatoa salamu zake kwa wana arusha...
Msigwa anasema huwez lala na nyoka ndani hata kama nyumba yako ni ya vioo..
Anasema zito ni sawa na mama anaye zaa mtoto halafu anaua unakamata mama unaweka ndani..
Anasewa wazir mkuu alitoa shinikizo kuwa ikulu kuwa zito anachakuliwa kuongoza kamati ya kudumu...
Anauliza wangap wanaunga mkono maamuz ya kamat kuu makamanda wote mikonoo juu.

Updates: anasema 2mempa cku 14 asipojieleza vizur 2napiga chini

Kamanda lema ndan ya jukwaa ss....anaelewana na lowasa aue chadema halafu aje kuwa wazir kwenye serekali ya lowasa.

Updates...
Anapigilia misumari sana anasema mambo hayitaji kanuni yanahitaji ubabe.
Kwa kuwa muaminifu, Anachofanya Mchungaji msigwa ni uchochezi na fitna.Ni bora akaamua kubadilika ikiwa ana roho safi na ana nia njema na CHADEMA. Halafu kitendo cha kusema waliokuja kwenye mkutano kwa ajili ya zitto au mbowe waondoke, halafu anaanza kumkandia zitto jukwaani,inaleta picha mbaya tena mbaya kabisa. Alipaswa azungumzie mambo ya jumla tu.
 
Namtafuta yule mla rambi rambi za mwangosi kuna aliyemuona..??? Nimepitia nyuzi kadhaa simuoni...
 
lema na msigwa kauli zenu ni sawa na kuweka mchanga kwenye kaburi, ushauri wa bire hizi kauli.zikomee hukohuko Arusha
 
Na mtaitisha sana mikutano ya hadhara kufuta nyayo za ZZK nyie Chadema. Mapimbi nyie.
 
Kwa kuwa muaminifu, Anachofanya Mchungaji msigwa ni uchochezi na fitna.Ni bora akaamua kubadilika ikiwa ana roho safi na ana nia njema na CHADEMA. Halafu kitendo cha kusema waliokuja kwenye mkutano kwa ajili ya zitto au mbowe waondoke, halafu anaanza kumkandia zitto jukwaani,inaleta picha mbaya tena mbaya kabisa. Alipaswa azungumzie mambo ya jumla tu.

Hata mimi sijapendezwa na kauli ya Msigwa.....wanachadema tujifunze kuwa makini and how to handle matters in situation kama hii ambayo chama kinapitia....
 
Nampongeza kamanda LEMA kukunalina na wananchi wa Arusha kukatàa kufanya mkutano wa amani na muhafaka na ccm ijumaa naunga mkono 100% ccm na serikali yao wamekata Tamaa na wanaona wamekataliwa Arusha sasa wanatafuta pakutokea ila ushabiki wa polisi kwa ccm umewaharibia kabisa Hawa jamaa
 
Lema analilia Posho kama mtoto mdogo anavyolilia ziwa la mama yake.
 
Kwahyo huyo zitto asivuliwe uanachama sababu tu ni muislamu?hakyamungu mungu akulaaani
 
Back
Top Bottom