live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

achana naye huyo, toka aoe amepoteza umakini kabisa......rejea mshumbuzi kuingia jf na id yake. so inawezekana aliyetoa agizo la kufunga mjadala wa zzk ni mwanamke na sio yeye.

Hajawahi kuoa huyu.
 
soo what are you suggesting,unamaanisha kuwa bila Zito si kitu,no,huyu jamaa alikuwa amechoka siasa,mara naenda kuwa lecturer mara ubunge basi,mara sioni haja ya siasa,who is this?
 
Ndio, Zitto ana-mchango katika kukikuza chama, lakini pale anapoanza kukiharibu, hatutamwacha aendelee kukiharibu, tuta-deal naye ipasavyo.....Actually wale waliofaidi matunda (Msigwa akiwemo, kama ambavyo umesema) nadhani ndio inabidi wawe na uchungu zaidi kwani wameonja utamu wa matunda hayo (wanajua thamani kuliko wale ambao bado hawajafaidi) na hawawezi kukubali mpuuzi fulani aondoe possibility ya wao kuendelea kufaidi matunda hayo....Hoja yako actually inaongeza/inatetea umuhimu wa Mch. Msigwa na wengine kama yeye kuhakikisha msaliti Zitto anashughulikiwa ipasavyo !

binadamu wengine tumeumbwa kusahau mapema sana kama kuku, nani alimjua msigwa kabla ya mwaka 2010? ameingia cdm majuzi amewakuta waliokikuza chama hadi yeye kuvutiwa nacho na inawezekana kabisa wana iringa walichagua chama ambacho kwa kiasi kikubwa kimekuzwa na huyo ambaye leo msigwa anamfananisha na mama mjamzito!!
 
soo what are you suggesting,unamaanisha kuwa bila Zito si kitu,no,huyu jamaa alikuwa amechoka siasa,mara naenda kuwa lecturer mara ubunge basi,mara sioni haja ya siasa,who is this?

Zito is a hypocrate, selfish but now let is call it Enough is enough.
 
Lema anadhani siasa ni lelemama, siasa chafu kikomo chake kiko karibu sana.
 
Huko ndo kwenye CHADEMA ya chumbani,kahama mbona hamleti updates?
 
Lema;
Hatuendi kwenye mkutano wa kujadili amani na ccm.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Msigwa;
Dhambi haifutiki kwa kuificha. Hakuna anayekataa amani, lakini tuhakikishe wale waliokosea wawajibike.

weka picha basi,inaelekea watu ni ishirini tu
 
Mimi namshangaa sana Much Msigwa? Ameacha kuhubiri injili anakaa kujihusisha na siasa za maji taka. Nimetoka zangu Ngarenarok kuja kumsikiliza maana yake akikuaga mchungaji Wang - Iringa nimesikitika sana kuona anongea uongo

Kanisa gani iringa? maeneo gan? Na service zao zipoje? Isije ikawa ndo nyie mnaojifanya mnamjua kupita hata marehem mke wake .
 
Back
Top Bottom