mi ntakufa Slaa akiwa Rais!
Lisemwalo lipo km halipo laja.... Kufa ni lazima kwako km tafsiri ya kufa kwako ndio ushindi wa Dr. Slaa basi ushatabiri ushindi wa Dr. Slaa
mi ntakufa Slaa akiwa Rais!
Hahahah muzee kumbe uko UVCCM??hivi bavicha mtaacha lini matus
Lema analilia Posho kama mtoto mdogo anavyolilia ziwa la mama yake.