live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

kamanda hassan ameanza kwa kutangaza nia ya kugombea udiwan katatya kati kama atapewa ridhaa na chadema ungana nasi moja kwa moja.
Mch msigwa ndan ya nyumba

updates.......
Naibu meya wa jiji ndio anahutubia..mh lema ndo ameingia nw

updates...kamanda mushi anasema '' kama kuna aliekuja kwasababu ya zzk aondoke na kama kuna mtu amekuja kwasababu ya mbowe nae aondoke 2mekuja kwasababu ya chadema''
mch.msigwa ndo kapanda anatoa salamu zake kwa wana arusha...
Msigwa anasema huwez lala na nyoka ndani hata kama nyumba yako ni ya vioo..
Anasema zito ni sawa na mama anaye zaa mtoto halafu anaua unakamata mama unaweka ndani..
Anasewa wazir mkuu alitoa shinikizo kuwa ikulu kuwa zito anachakuliwa kuongoza kamati ya kudumu...
Anauliza wangap wanaunga mkono maamuz ya kamat kuu makamanda wote mikonoo juu.

Updates: Anasema 2mempa cku 14 asipojieleza vizur 2napiga chini

kamanda lema ndan ya jukwaa ss....anaelewana na lowasa aue chadema halafu aje kuwa wazir kwenye serekali ya lowasa.

Updates...
Anapigilia misumari sana anasema mambo hayitaji kanuni yanahitaji ubabe.

nyie chadema ni washamba sana. Hivi hakuna cha kuwambia wananchi zaidi ya kumsema zitto kila mkutano?

Mmepoteza dira hakika yani mnatumia muda mwingi kuongelea mambo ya zitto.

Kwa style hii labda sanawari ndio ikulu mnayo iota.

Sijaona wabunge wajinga kama waliopo chadema ukimtoa mnyika tuu.

Mzimu wa zitto una watesa sana.
 
kumbe lowasa naye yumo kwenye mchezo ! Asante lema , kila kitu kitafahamika tu .

yani lema na tundulisu ndio wachimba kaburi la chadema.
Vip ameshamtaja aliye lipua ofisi?
 
Duh, msigwa hataki unafiki hata kidogo!

binadamu wengine tumeumbwa kusahau mapema sana kama kuku, nani alimjua msigwa kabla ya mwaka 2010? ameingia cdm majuzi amewakuta waliokikuza chama hadi yeye kuvutiwa nacho na inawezekana kabisa wana iringa walichagua chama ambacho kwa kiasi kikubwa kimekuzwa na huyo ambaye leo msigwa anamfananisha na mama mjamzito!!
 
Segment ya SADAKA ndio imekaribia, naona Lema anachukua box pale.
 
huyo adui yake yoyote ni mtu muislamu. Na mapambano yake popote alipo ni kuhakikisha uislamu unapotea katika taswira ya hapa nchini kwetu.

Kasahau kwamba mwl. Nyerere mwenyewe baada ya nchi hii kumshinda aliona ni busara kumuachia muislamu aongoze japokuwa walikuwepo wakristo wengi ktk ambao wangeweza kuwa na sifa ya urais.

Masuala ya udini yametokea wapi ndugu huo ni mfano tu. Mimi nilidhani unakosoa mfano maana mimi sijaona mahali alipohusianisha na suala la dini hata kidogo. Pull up your sox

nchi hii ni ya muungano na kwabahati mbaya/nzuri upande mmoja wa muungano asilimia 99% ya watu wake ni waislamu na hata huku bara nusu ya watu wake ni waislamu so ni vigumu sana kujaribu kuwatenga waislamu ktk harakati za kisiasa hapa nchini ila chamsingi ni kushirikiana nao na kama wakitengwa huwa mara moja wanaungana kupambana na adui wanaemuona anataka kuwadhuru.
Kwa cdm, ushauri wangu wa bure kumvua zitto uongozi ni uhaini mkubwa kwa waislamu hapa nchini na kwa taarifa tu ni kwamba watakua tayari kushirikiana pamoja kuhakikisha cdm haichikui hii nchi.

kiongozi wapi huyu muheshimiwa kazungumzia masuala ya udini. Jibu mfano wake si vinginevyo
 
Usaliti ulikuwepo zamani kabla ya Yesu. Ipo mifano kadhaa kuhusu hili na kati ya hiyo, mifano inayofahamika zaidi ni hii:-

(i) Delila alimsaliti mumewe Samson: "Alimtongoza" kujua siri ya nguvu zake na kuzivujisha kwa maadui zake ambao hatimaye walimuua. Samson, kutokana na imani aliyokuwa nayo kwa "mkewe" hakutegemea hili kutokea kumbe ndio hivyo tena, hakuwa mke bali nyoka, pamoja na uzuri wake wa sura.

(ii) Hamani Vs Watu wa Mungu: juha Hamani aliwasaliti watu wa Mungu kwa kuwa alipewa kacheo fulani kwenye utawala wa Babeli; nguzo ya uovu ya wakati ule. Isingekuwa Malkia Ester, wangechinjwa wote kutokana na usaliti wa ndugu yao.

Duh! Salute Mzazi...
 
Lema;
Kamati kuu imemlea sana Zitto, alitakiwa afukuzwe ndani ya chama toka 2010.

Hawa jamaa siyo tu wavuliwe cheo, wanatakiwa wafukuzwe kwenye chama

mie ni mwanaCDM wa dhati kabisa nasema kwa uwazi bila unafki - lema anatuharibia chama, mbowe acha kumlea huyu jamaa kisa mmetoka wote nshara!! najua chama hakina ukabila ila nna wasiwasi na mbowe!
 
Jamani, Kapuya anatafutwa Polisi Popote pale alipo... nani amemwona akamatwe Sasa hivi...
 
Back
Top Bottom