live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

live mkutano wa chadema arusha viwanja vya soko kuu

Lema;
Yule boya wa Singida aliyejiuzulu jana alishirikiana na Zitto kufanya mizengwe kumwekea pingamizi mgombea wa chadema ili Dewji apite bila kupingwa

Eti ni Mbunge anaongea Pumba hivi. huyu Kichwa box ni mzigo kwa taifa.
 
Mimi namshangaa sana Much Msigwa? Ameacha kuhubiri injili anakaa kujihusisha na siasa za maji taka. Nimetoka zangu Ngarenarok kuja kumsikiliza maana yake akikuaga mchungaji Wang - Iringa nimesikitika sana kuona anongea uongo
 
kuna mtu kanisimamisha mitaa ya kijitonyama. Akaniambia "braza najua wewe uko kwenye mambo ya siasa, naomba nikuulize swali".

nikamwambia kama mambo ya kuhusu zitto kawaulize chadema wenyewe.

akasema sio hivyo.

nikamwambia uliza.

akaniuliza "hivi kwanini chadema arusha wamechoma ofisi yao?"

nikamwambia mimi sijui, ila nimesikia wameitisha mkutano wa hadhara. Kwavile mkutano huo walianza kuuandaa kabla ofisi haijaungua na kwavile wamesema mkutano huo unahusu kuungua kwa ofisi, basi tusubiri labda watatangaza sababu ya kuiunguza hiyo ofisi.

nikamwambia kwanini umeulizia ofisi ya chadema?

akasema kwa sababu kama miezi miwili iliyopita alitoa mchango wa kujenga ofisi ya chadema, sasa anahofia kama ofisi zenyewe baadae chadema inaziunguza basi pesa yake itapotea bure.

nikamwambia asihofu, arusha tatizo ni lema tu. Otherwise mikoa mingine hakuna mkakati wa kujiunguzia ofisi.

kama kuna mdau mwenye jibu naomba tumsaidie huyu mwananchi.

wewe kijana , kama chadema haijakuletea kisukari msimu huu , basi presha haitakukosa .
 
Lema:
Chadema siku zote tumekuwa waungwana, msajili ametuletea barua ya maridhiano na ccm, chadema hatuko tayari kupatana na ccm, watu watu wetu wameuawa na ccm, wengine wamekuwa vilema kwa sababu ya ccm.

Lakini kwakuwa agenda inahusu maendeleo na mshikamano tutakwenda. Kwa kuwa ni mkutano wa hamasisha maendeleo na amani tutakwenda. Ila tukifika wakibadilisha agenda tutakataa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
daaa hiyo ya mchungaji nimeipenda kweli kumbe usariti umeanza mda mlefu sana kama ni enzi za akina yuda ni kitambo sana kumbe huyu ZKanaiga tu
 
Katika mkutano huo msigwa amesema atuwezi kuvumilia wasaliti kwasababu usaliti ulianza enzi za Yesu hivyo msaliti yeyote ndani ya chama hata kama ni yeye ni kupiga chini. Kwasababu wasaliti siku zote awashindi ndio maana Yuda baada ya kumsaliti Yesu alienda kujinyonga.


Usaliti ulikuwepo zamani kabla ya Yesu. Ipo mifano kadhaa kuhusu hili na kati ya hiyo, mifano inayofahamika zaidi ni hii:-

(i) Delila alimsaliti mumewe Samson: "Alimtongoza" kujua siri ya nguvu zake na kuzivujisha kwa maadui zake ambao hatimaye walimuua. Samson, kutokana na imani aliyokuwa nayo kwa "mkewe" hakutegemea hili kutokea kumbe ndio hivyo tena, hakuwa mke bali nyoka, pamoja na uzuri wake wa sura.

(ii) Hamani Vs Watu wa Mungu: juha Hamani aliwasaliti watu wa Mungu kwa kuwa alipewa kacheo fulani kwenye utawala wa Babeli; nguzo ya uovu ya wakati ule. Isingekuwa Malkia Ester, wangechinjwa wote kutokana na usaliti wa ndugu yao.
 
kumbe lowasa naye yumo kwenye mchezo ! Asante Lema , kila kitu kitafahamika tu .

Lema Level yake sio LOWASSA, LOWASSA hana muda wa kujibizana na Kilaza huyu...
Badala ya kueleza ameifanyia nini Arusha toka achaguliwe anawataja akina Lowasa. Ujinga ni kipaji.
 
Huyo adui yake yoyote ni MTU MUISLAMU. Na mapambano yake popote alipo ni kuhakikisha uislamu unapotea katika taswira ya hapa Nchini kwetu.

Kasahau kwamba Mwl. Nyerere mwenyewe baada ya nchi hii kumshinda aliona ni busara kumuachia MUISLAMU aongoze japokuwa walikuwepo wakristo wengi ktk ambao wangeweza kuwa na sifa ya URAIS.

Nchi hii ni ya muungano na kwabahati mbaya/nzuri upande mmoja wa muungano asilimia 99% ya watu wake ni waislamu na hata huku bara nusu ya watu wake ni waislamu so ni vigumu sana kujaribu kuwatenga waislamu ktk harakati za kisiasa hapa nchini ila chamsingi ni kushirikiana nao na kama wakitengwa huwa mara moja wanaungana kupambana na adui wanaemuona anataka kuwadhuru.
Kwa CDM, Ushauri wangu wa bure kumvua zitto uongozi ni uhaini mkubwa kwa waislamu hapa nchini na kwa taarifa tu ni kwamba watakua tayari kushirikiana pamoja kuhakikisha CDM haichikui hii nchi.
 
Lema:
Chadema siku zote tumekuwa waungwana, msajili ametuletea barua ya maridhiano na ccm, chadema hatuko tayari kupatana na ccm, watu watu wetu wameuawa na ccm, wengine wamekuwa vilema kwa sababu ya ccm

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

CHADEMA ina uungwana gani? Kukusanya Hela ya mafuta ya helkopta kwa walalahoi ni uungwana?
 
Nipo kwenye mkutano Msigwa anawaambia watu akisema Zitto wajibu Must go. Nikajiuliza hata Lema anasema Zitto afukuzwe uanachama hadharani wakati amepewa muda wa kujieleza kwanini wasisubiri maamuzi ya kamati kuu? Anamhukumu kama nani? Lama mwendawazimu tuh
 
Lema;
Kuna dhambi mbaya ilienezwa na ccm, dhambi mbaya ya udini, Kikwete anapita misikitini kuwagawa waislamu, huku Lowasa sasa anapita makanisani kuliko mwinjilisti yeyote kuhubiri udini

Slaa na vifaranga wake ndio vinara wa udini hapa nchini.
 
Nipo kwenye mkutano Msigwa anawaambia watu akisema Zitto wajibu Must go. Nikajiuliza hata Lema anasema Zitto afukuzwe uanachama hadharani wakati amepewa muda wa kujieleza kwanini wasisubiri maamuzi ya kamati kuu? Anamhukumu kama nani? Lama mwendawazimu tuh
Msigwa kaacha uchungaji kaingia kwenye utapeli!
 
Back
Top Bottom