Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Live: Kutoka Mbamba bay mkutano wa Dk. Slaa

Chadema mpaka raha,jamaa wamejipanga wanapiga huku na huko mashambulizi kila kona,CCM kwaheri ya kuonana.
 
huo mlima umetoka wapi wakati uwanjani hapana mlima, hii inaonesha ulivyo bingwa wa kuchakachua mkuu!
Unaijua vizuri mbamba bay au unaweweseka we gamba hivi kama unaelekea mahakama ya mwanzo kuna nini.....usiongee usichokijua nyau we...muulize ndg ya Butola aliyekuwa anabisha bisha jana hapa kwa hoja dhaifu...mwambie atokee na hapa baada ya kuwa mkutano umeshafanyika
 
Endelea kutuhabarisha, ila mkuu chishango hilo jina lako naona kama unatokea upande wa mama Joyce Banda vile!
 
Derevaaaaa??Nyosha mguu baba tuwahi 2015,abiria wote fungeni mikanda safari ndiyo ishaanza tena abiria wa tanganyika express chunga mzigo wako wakora (waoem)watapitia kamanda wao ni nani vile......nch......,ba(stand yao kuu ni palee bot)tukilala lazima tukatwe.
 
makamanda soryy kwa kiwango kibovu cha picha ni haka kasimu kangu ka mchina
 
Endelea kutuhabarisha, ila mkuu chishango hilo jina lako naona kama unatokea upande wa mama Joyce Banda vile!
Mkuu Jabulani hapa ni mpakani kuna watu tunafanana majina na kuna watu wameoleana isikupe shida chief tupo pamoja
 
hiki chama kinanifurahisha huwa hakiishiwi mipango hata, Hakiishiwi rasilimali watu pia, wasaliti wameondoka sasa hivi kimekuwa chepesi kweli.

Kaaaama ubua vilee...
CDM hadi Raha..
Ukiwa na Shetani ,maisha yako yatakua ya wasiwasi.. Lakini kwakua CDM tulianza na Mungu,siku zote anatupigania!!
 
Wow! Nizaidi ya kusikia, kuona na kuishi maisha ya siasa za CDM. Let's go, hatuna muda wa kupoteza.
 
Back
Top Bottom