Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,451
Ni kipenzi cha kocha kwa kuwa anaupiga mwingi, huyo anayepiga pasi za pembeni ligi nzima hana hata goli moja abaki huko huko Hati fc.Huyo dogo nikipenzi cha kocha ila mchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania ni Mkude