Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,057
- 2,637
Kesho kazi ipo nzito zaidi. nitakua very busy.
Jumatatu wakuu, nimejitahidi sana, ila makombora yakija makubwa nitajimuvujisha na kujibu.
Asanteni
Nawasoma
Mhe. FD na wewe unagombea NEC? ikiwa hivyo kila heri lakini usitoe rushwa (Joke)
Ahsante kwa kutuhabarisha.
Mkuu FD,
Heshima mbele kwa kukata ishus na kutuhabarisha yanayojiri huko,
short, straight, strong, and very clear,
Mikutano ya vyama vya siasa sistusumbue wakuu, tujali taifa, amesema nini kuhusus taifa that is all, mengine tunashuka na kuwa level ya hao makada waliovaa manguo ya kijani wengi wao wakiwa wanauchapa usingizi tu!
At JF, We are better than them!
Maneno yako msumari inabidi ya sink ktk akili za Wadanganyika. yaani lini kweli tutaweza kusimama na kwuwambia hawa viongozi wetu kuwa tumechoka na hizi ahadi wakati wao wanakula kuku kwa mrija.Mawaziri wanatumia miezi 5 kuielezea bajeti, je ni muda gani watakaa kuitekeleza? What a wastage of resources and time?
JokaKuu,
Maneno yako msumari inabidi ya sink ktk akili za Wadanganyika. yaani lini kweli tutaweza kusimama na kwuwambia hawa viongozi wetu kuwa tumechoka na hizi ahadi wakati wao wanakula kuku kwa mrija.
Nimenukuu maelezo yako hapo juu, hii ni hali halisi ya Watawala wetu ambao hawana tofauti kabisa na Utawala wa Julius Kaizali. 5 month unatangaza budget kwa wananchi hali ukweli unajulikana kuwa bugdet uyetu mbovu. Ni maisha ya mwafrika kulilia wadhifa akisha pata anabadilika kuwa Mungu mtu ktk mfumo huu asili wa - Ujanja kupata, kila mtu na mzigo wake.
kwanini alizungumzia mambo ya kutukanana kwenye mtandao....? niko hapa napiga mluzi tu.. !! yupeee!!
Live Live from Dodoma.
Chakushangaza Leo TV Zote bongo sinaonyesha huu mkutano Live. TVT wanabroadcast wenywe. StarTV, ITV na Channel 10 wanachukuwa chukua feed moja ya ITV.
Huyu nathani mnamjua.
Huyu sikumbuki Jina lake.
JK alianza kuhutubia, nikashanga gafla anaanza uongea na huyo ambaye yupo pembeni yake. Bado sijajua ni nani huyo.
Wengine msiniulize nipo mtandao au simo.