CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hahaha...wameshindwa wengi sana!!!
Mtafute mtu mmoja anaitwa wakati ndio sasa akusimulie...
Mwambie mwambie.... " Hiki kisiki cha mpingo, wameshindwa wenye shoka. Unakuja na panga unajisumbua" Vin Diesel
yanga oyee
Hivi aliekudanganya ukawa hivi nani jamani....maana ameniweza sana
Ongea vizuri na daddy angu make ndoo msemaji wa mwisho!!
Nimeshasema Noooo!!! binti yangu we pumzika uendeshe biashara za familia, daddy na mumy tupo tutakusupport
Ongea vizuri na daddy angu make ndoo msemaji wa mwisho!!
Kama tulivyokubaliana wadau basi ndo tumefika eneo la tukio na wadau waliokwishafika ni Remmy Mtambuzi Asprin Madame B
View attachment 84360
updates:
Mkuu Vin Diesel naye yumo ndani ya nyumba.
Daah hadi wazee wa siasa kunyumba...
Update 2:
Mkuu Kipaji Halisi ndani ya nyumba...
Update 3: ismail n. Juma naye yumooo....
Da Madame B..ndo kinywaji gani hiki umeleta dada??!
Aibu ya nini sasa? Na ukubwa huo?
Huyo mchuchu alovaa buluu ndo Madame B?
Huyo mchuchu alovaa buluu ndo Madame B?
kukataliwa kubaya! Wabaki unababaika! Wazomewa! Nawe wajidharaulisha bure! Hutakiwi hebu timua! Hebu rudi home haraka kuna ishu nataka unipe!