saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 100
Shukrani...subiri muda ufike zitamwagwa hapa!
Shukrani...subiri muda ufike zitamwagwa hapa!
ongeza 1 ili ziwe 4 Mkuu.
mh! Leo wanapaki basi kuanzia second ya kwanza tuone ayo magoli matatu yatatokea wapi. Mie nashabikia Juve na Bayern
Mpira unaanza saa ngapi?
Tetesi nilizonazo Captain Puyol leo hachezi!
Mpaka mapumziko Barca 1 Milan 0, dkk 76 Barca 2 Milan 0, dkk 84 Barca 2 Milan 1, full time Barca 2 Milan 1. Agg Barca 2 Milan 3. Time will tell.
Wadau LINK itakayoonyesha???????????
Toa prediction in numbers kama kawaida yako, na si kulialia kama ulivyofanya hapo juu!
Dalili za kulia lia hizi..wao wana refa ndiyo nini? Mbona unaanza kujihami!!??
Ingawa mimi pia nitakuwa upande wa Rossoneri leo!! Hawa Barca inapigi wakikalie leo!
Ukitaka kumuua Mbwa mpandikizie ubaya...
Huyu atamtegea sumu, yule atampiga jiwe, wale watamfukuza wakimuona....
Don't tell me that It's AC Milan!.May the best team win tonite!!!