LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

kama leo ac milan wakipta bac ubngwa n wao coz mungu atakuwa upande wao, kw sasa hali ni mbaya
 
Mtu anachezewa 1/2 uwanja hapa na kuna hatari AC milan wakala za fasta wasipokuwa makini
 
Messi anapiga hat-trick + 1.

Barca to progress!

nyie mmezoea soka lenu la uingereza.hamjatujua waitaliano vizuri.mtaliano hufungwa mechi rahisi sio ngumu.ngojeni muone.kwa uhuru kabisa nasema ntarudi saa saba humu kutoa pole kwa barca na pongezi kwa chomba!
 
wakuu sisi tunaotegemea king'amuzi cha startimes DTV awaonyeshi mechi ya leo mpaka kesho Asernal na Bayern Munic,hivyo tunawategemea wana jf mnaoangalia kupitia super sport mtupatie live updates na sio kuleta polojo zisizo n tija :msela:
 
mkuu Katavi maji yameshaanza kupanda mlima naturally!!
 
Last edited by a moderator:
Barca 2 ac millan 0 nahisi utangata na ----
 
Gang Chomba tunaomba tathmini ya hizi dakika 45. Na pia unaweza kumuelezea vipi mshambuliaji
aliyefunga hizo goli mbili.....Studio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom