hah hah hah hah mkuu naona unaucheza mpira kwa maneno
leo barca wakifungwa na millan natafuna maji
Milan kishatoka yule.
hah hah hah hah mkuu naona unaucheza mpira kwa maneno
leo barca wakifungwa na millan natafuna maji
N'nachujua leo tutaenjoy mechi 'kwaliti' yenye upinzani lumbesa...hizo nyingine ni tambo tu na mbwe mbwe!
jiandae kujing'ata ..
visca el barca...
tunasonga mbele leo..
nipo na ac milan leo. forza milan
Wao wana Refa, sisi tuna Mungu...
The Sagga Continua
kwa msimu huu kazi atakuwa nayo kwa ile beki sijui na kipa mwenyewe yule sema barca wanakazi sana kutafuta goli mbili sio mchezo na siku hizi bahasha za kaki hawatoi kabisa uefa tusubiri vioja tu..
i bet the champions league final will be juve na bayern aka bavarian..
Kazi leo ipo. Nawatabiria Milan kusonga mbele.
hah hah hah hah mkuu naona unaucheza mpira kwa maneno
leo barca wakifungwa na millan natafuna maji
Leo Milan anatoka, hata kwa bahati mbaya Milan hawezi kusonga mbele.
Gang Chomba unachonishangaza ni kuanza kumtaja refa kabla ya mechi..ni kama unaandaa pa kuegemea!! si tusubiri baada ya game kama refa atakuwa ameuma tutaona! Binafsi naamini kwa uchezaji wa Barca leo game itakuwa ngumu kwenu mnaweza hata kupata red maana mwaweza pigwa vyenga na kugongewa pasi za maudhi na hatari..natabiri Milan kulowa pale Camp Nou leo na Messi kushine!! Wapi Companero
hakuna timu duniani inajua kupaki basi golini kama ac milan...sioni barca kufunga goli tatu bila so ac milan ndio wameshapita
Gang Chomba mzee wa Gaucho...yule mwana wa kujidai na mpira jinsi atakavyo....yule aliyefanya watu wengi waipende La masia....leo unaikataa wazi wazi Barca.....nakuhakikishia Milan leo watautafuta mpira kwa tochi...kila wakiupata itakuwa pale wanapoutoa nyavuni kwenda kuanza pale kati kati.....Barca balaa hata ikiwa na makocha wasaidizi tupu...
Hao wote wawili uliowataja hawana historia ya kunisu,bua katika kombe hili...
Ntachapa mmoja baada ya mwingine.
Naanza na huyu mshambenga wa kwanza leo
jiandae kujing'ata ..
visca el barca...
tunasonga mbele leo..