LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

dalili za mtu aliyepata hofu (panic attack) ni kama zifuatazo:

1. kulalamika
2. kubwabaja
3. kiherehere
4. kujishuku
5. kudadika
 
Mpira unaanza saa ngapi?
Tetesi nilizonazo Captain Puyol leo hachezi!
 
k
MY PREDICTION...
Watashindana lakini hawatashinda...
Forza Milan.
Per Sempre Noi
Grande Milan

Toa prediction in numbers kama kawaida yako, na si kulialia kama ulivyofanya hapo juu!

Wao wana Refa, sisi tuna Mungu...
The Sagga Continua

Dalili za kulia lia hizi..wao wana refa ndiyo nini? Mbona unaanza kujihami!!??

Ingawa mimi pia nitakuwa upande wa Rossoneri leo!! Hawa Barca inapigi wakikalie leo!
 
leo watu tutashuhudia maji ya kipanda mlima kwa nguvu ya asili!
 
Back
Top Bottom