LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

Agg: 4-2 A wonderful display as Barcelona become the first team in history to overturn a two-goal first-leg defeat without the benefit of an away goal, securing a place in the quarter final for the sixth successive year
 
klabu yenye mafanikio na makombe meengi zaidi ya kimataifa hapa nalazimika kuitaja Klabu ya AC Milan yenye maskani yake katika Barabara ya Turati iliyopo Sansiro katika Wilaya ya Milan usiku wa leo inaingia katika uwanja wa Nou Camp kwenda kupambana na Barcelona ambao tayari wako nyuma kwa goli mbili kwa bila.

Numero uno Milan wakiwa kwenye kiwango kizuri wanatarajiwa kuhitimisha safari ya Barca hii leo, kwani kwa matokeo yaliopo sasa yanaonyesha wazi kuwa Barca ashabakwa na leo wanalazimika tu kwenda kukamilisha ratiba.

katika mechi ya mwanzo iliofanyika wiki kadhaa zilizopita Milan waliwasasambua Barca na kuwacharaza goli 2-0 huku Milan ikimkosa siku hiyo mshambuliaji wake mahiri waliemsajili mwezi Januari Super Mario Balotelli ambaye kafunga magoli 6 ktk mechi 6 lakini Barca nao walimkosa mshambuliaji wao Lionel Messi ambaye alicheza lakini akafunikwa bila kuwa na Madhara yoyote.

Makamo mwenyekiti wa AC Milan Adriano Galiani ameweka wazi kuwa hata Barca wakipanga golini makipa wao wote wawili haitawazuia Milan kupata Goli leo.
na kuongeza kuwa ni jukumu la Refa kuwa Fair...hatutegemei maamuzi kuwa mabovu na yenye kuwabeba Barcelona kama yaliyofanyika msimu uliopita.

Milan wamelibeba kombe hili la klabu bingwa barani ulaya mara 7, mara mbili nyuma ya Madrid na wachambuzi wa maswala ya Soka wamewataja kuwa wanao uwezo wa kulibeba msimu huu.

Milan wanaingia uwanjani huku wakimkosa mshambuliaji wao Gianpaolo Pazzo Pazini aliyepata majeraha katika mechi ya ligi walioshinda goli 2-0 ijumaa iliopita.

Its Final Battle between Gutierez VS Gang Chomba.

MY PREDICTION...
Watashindana lakini hawatashinda...
Forza Milan.
Per Sempre Noi
Grande Milan

Ambaye hakumsoma Gang Chomba huyo atakuwa alifeli la 7 kihalali kabisa.
Gang Chomba ametabiri ''watashindana lakini hawatashinda''.
Hii ina maana aliyajuwa mapema. Mwacheni mzee wa watu jama.
 
Nilikuonya mapema kaka mkubwa gang kwamba usisahau ile pini uliyotumia kubania kanzu msambani pale san siro,ona sasa ulivyoumbuka!miguu juu kichwa chini,kanzu imefunika uso wako wenye aibu na huzuni,pole kaka,rudi jangwani tujifariji.
 
Kujing'ata mgongo kwa wanyama wale rafiki wa binadamu ni kitu cha kawaida kabisa!!!! Hasa wakati wanauma CHAWA na VIROBOTO viwasumbavyo....!
Barca ilivyo nikinukuu maneno ya mtu ambaye maisha yake ni FOOTBALL tena kwa kiwango cha juu alisema "Barca ni sayari nyingine" mpira uchezwao pale si wa dunia hii, ndo maana ina MAADUI wengi kuliko MASHABIKI. Hili linathibitika kwa utafiti usio rasmi mahali ambapo wewe msomaji uliangalia mpira huo na mechi nyingine za Barca. Idadi kubwa ya watazamaji na wapenda soka huizomea BARCA wakati inafanya vitu adimu!
 
Barca ni timu kali sema siku za karibuni imeonekana ya kawaida kutoka na uoga wa kocha ila jana alitumia ujasiri alioshindwa kuutumia match ya kwanza na milan na matches mbili alizofungwa na madrid!jana alichezesha formation ya gurdiolla iliyompa heshima duniani kwa kuua namba mbili ambayo ikawa inacheza kama kiungo!!!ukiruhusu alaves acheze kama namba mbili kiungo timu pinzani lazima ipate taabu!!!!jana milan wamecheza utumbo kana kwamba mawazo yao yote yapo katika uteuzi wa papa mpya vatican!
 
Wewe kweli ni mtoto wa mjini...
Jamaa wewe unajuwa sana soka.

Karibu sana kwenye chama chetu cha kutolewa CL.....messi soo yule dogo...na leo jioni tunamsindikiza arsenal kwenye chama chetu cha kutolewa champions league :biggrin1:
 
Huijui Milan sheikh wangu...
Milan ni kama maji.
Usipoyaoga ukiwa hai...basi utaogeshwa ukiwa maiti.
Hao Barca walishaogeshwa Sansiro na leo wakifanya mchezo tutalimwagia maji kaburi lao.

Gang Chomba kiko wapi...natamani nikuone Shekhe wangu..jana nilikuambia wakiupata tu ni pale wanapouokotea nyavuni...yametimia, sema leo Arsenali Nje.
 
Last edited by a moderator:
klabu yenye mafanikio na makombe meengi zaidi ya kimataifa hapa nalazimika kuitaja Klabu ya AC Milan yenye maskani yake katika Barabara ya Turati iliyopo Sansiro katika Wilaya ya Milan usiku wa leo inaingia katika uwanja wa Nou Camp kwenda kupambana na Barcelona ambao tayari wako nyuma kwa goli mbili kwa bila.

Numero uno Milan wakiwa kwenye kiwango kizuri wanatarajiwa kuhitimisha safari ya Barca hii leo, kwani kwa matokeo yaliopo sasa yanaonyesha wazi kuwa Barca ashabakwa na leo wanalazimika tu kwenda kukamilisha ratiba.

katika mechi ya mwanzo iliofanyika wiki kadhaa zilizopita Milan waliwasasambua Barca na kuwacharaza goli 2-0 huku Milan ikimkosa siku hiyo mshambuliaji wake mahiri waliemsajili mwezi Januari Super Mario Balotelli ambaye kafunga magoli 6 ktk mechi 6 lakini Barca nao walimkosa mshambuliaji wao Lionel Messi ambaye alicheza lakini akafunikwa bila kuwa na Madhara yoyote.

Makamo mwenyekiti wa AC Milan Adriano Galiani ameweka wazi kuwa hata Barca wakipanga golini makipa wao wote wawili haitawazuia Milan kupata Goli leo.
na kuongeza kuwa ni jukumu la Refa kuwa Fair...hatutegemei maamuzi kuwa mabovu na yenye kuwabeba Barcelona kama yaliyofanyika msimu uliopita.

Milan wamelibeba kombe hili la klabu bingwa barani ulaya mara 7, mara mbili nyuma ya Madrid na wachambuzi wa maswala ya Soka wamewataja kuwa wanao uwezo wa kulibeba msimu huu.

Milan wanaingia uwanjani huku wakimkosa mshambuliaji wao Gianpaolo Pazzo Pazini aliyepata majeraha katika mechi ya ligi walioshinda goli 2-0 ijumaa iliopita.

Its Final Battle between Gutierez VS Gang Chomba.

MY PREDICTION...
Watashindana lakini hawatashinda...
Forza Milan.
Per Sempre Noi
Grande Milan
Kashfa vituko na dharau kaka,yani ulimuita Messi ni nesi,poa lakini kaonyesha yeye sio nesi wa ca osasuna tu hata kwa Berlusconi alie kifungoni,tunakuitaji na misemo yako sijui fimbo ya mbali haiui nyoka,ulicheza pata potea,pole sana najua Turati simanzi,Terrasa,Sabadell,Arends der Mar,la Pablo de Segur,Llobregat ni furaha tu hadi linyola kwa mamluki Bojan Krkic mliemuingiza jana kipindi cha pili aje kutusaliti,jaribuni tena msimu ujao,kwa sasa komalieni nafasi ya 3 seria A
 
MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...
 
Back
Top Bottom