LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

barca hamna kitu msimu huu. Sema wamekutana na timu bovu milan. Timu haina hata foward.

naamini kabla ya mechi ulibisha ulipoambiwa hivyo ila sasa unasema mwenyewe safi kabisa
 
Kuna mtu anajiita mwekundu alitukana live hapa natafuta comment yake imeyeyuka,bila shaka kashachezea ban.hana nidhamu ya jamvi kabisa
 
There is only one Lionel Messi! A message has been sent to all of you who had forgotten " The greatest footballer the world has never seen before,is still at Catalunya" long live LIONEL KING MESSI MAGIC
 
it will be 2-1 to bayern we know we are out..then tunaangalia UCL kama fans wa futbol tu

Heko. Wewe kweli ni mpenzi wa soka na siyo mnazi!
Kuna nyakati inabidi ukubali tu, hata kama kukubali huko kutakuwa kuchungu.

Kwa fomu ya Bayern ya sasa, ni kweli sioni namna Arsenal watapita!
 
Heko. Wewe kweli ni mpenzi wa soka na siyo mnazi!
Kuna nyakati inabidi ukubali tu, hata kama kukubali huko kutakuwa kuchungu.

Kwa fomu ya Bayern ya sasa, ni kweli sioni namna Arsenal watapita!

unadhani mi kama Gang chomba?
 
klabu yenye mafanikio na makombe meengi zaidi ya kimataifa hapa nalazimika kuitaja Klabu ya AC Milan yenye maskani yake katika Barabara ya Turati iliyopo Sansiro katika Wilaya ya Milan usiku wa leo inaingia katika uwanja wa Nou Camp kwenda kupambana na Barcelona ambao tayari wako nyuma kwa goli mbili kwa bila.

Numero uno Milan wakiwa kwenye kiwango kizuri wanatarajiwa kuhitimisha safari ya Barca hii leo, kwani kwa matokeo yaliopo sasa yanaonyesha wazi kuwa Barca ashabakwa na leo wanalazimika tu kwenda kukamilisha ratiba.

katika mechi ya mwanzo iliofanyika wiki kadhaa zilizopita Milan waliwasasambua Barca na kuwacharaza goli 2-0 huku Milan ikimkosa siku hiyo mshambuliaji wake mahiri waliemsajili mwezi Januari Super Mario Balotelli ambaye kafunga magoli 6 ktk mechi 6 lakini Barca nao walimkosa mshambuliaji wao Lionel Messi ambaye alicheza lakini akafunikwa bila kuwa na Madhara yoyote.

Makamo mwenyekiti wa AC Milan Adriano Galiani ameweka wazi kuwa hata Barca wakipanga golini makipa wao wote wawili haitawazuia Milan kupata Goli leo.
na kuongeza kuwa ni jukumu la Refa kuwa Fair...hatutegemei maamuzi kuwa mabovu na yenye kuwabeba Barcelona kama yaliyofanyika msimu uliopita.

Milan wamelibeba kombe hili la klabu bingwa barani ulaya mara 7, mara mbili nyuma ya Madrid na wachambuzi wa maswala ya Soka wamewataja kuwa wanao uwezo wa kulibeba msimu huu.

Milan wanaingia uwanjani huku wakimkosa mshambuliaji wao Gianpaolo Pazzo Pazini aliyepata majeraha katika mechi ya ligi walioshinda goli 2-0 ijumaa iliopita.

Its Final Battle between Gutierez VS Gang Chomba.

MY PREDICTION...
Watashindana lakini hawatashinda...
Forza Milan.
Per Sempre Noi
Grande Milan

hahahaaa, fyonza milano, hahahahaaaa, k!f!r0 kabbbaaaam
 
There is only one Lionel Messi! A message has been sent to all of you who had forgotten " The greatest footballer the world has never seen before,is still at Catalunya" long live LIONEL KING MESSI MAGIC

kwa heshima na taadhima ya soka la italia,ninatuma maombi pale monaco keshokutwa kuwaomba UEFA wanipe huyu Barca!namtaka aje Turin.please jamani please!naitaka Barcelona ipangwe na Juve,niionyeshe dunia tatizo la barca lilipo!
 
Mmetia Aibu milan. Barca angecheza na Schalke04 asingefuzu. 4-0. Ni aibuuu.

Unaongelea timu imetolewa na Waturuki kwa kubanguliwa 3-2 hapo hapo kwao? Linganisha Garatasaray na Barca je Schakle angeizuia barca kama kaishindwa timu ambayo haijaingia robo fainali ya CL toka 2001 mpaka leo usiku?

Unazi ni sumu mbaya sana kwa maendeleo ya Futboli
 
barca hamna kitu msimu huu. Sema wamekutana na timu bovu milan. Timu haina hata foward.

wabongo bwana wanajua kuponda wakat barca anafungwa na ac milan mlisema barca akuna kitu. Naomba unitajie mshambuliaji wa ac milan ambae ni tegemeo na hakucheza
 
Gang Chomba sasa hivi atakuwa na majeraha kwenye mgongo, baada ya kujing'ata!

Milan wepesi sana kuruhusu comeback nakumbuka hata Mto wa maini walichomoa goli 3 pale instabul mwaka 2005 hivi hivi..jamaa atakuja jf kesho kutwa!
 
Last edited by a moderator:
Agreed. Jamaa alipokisa goli la wazi nikajua kwisha habari. Leo waliiuwa wapo wapo tu. They ley barc have the ball the way they want...lazima uwe punished

Yeah mkuu...when you can't dictate even the slightest of terms(especially at the middle of the field)its not possible to come out alive from a game of such magnitude against such prolific maestros.
 
kwa heshima na taadhima ya soka la italia,ninatuma maombi pale monaco keshokutwa kuwaomba UEFA wanipe huyu Barca!namtaka aje Turin.please jamani please!naitaka Barcelona ipangwe na Juve,niionyeshe dunia tatizo la barca lilipo!
Tena ao Juve ndo hawasumbui kabisa, maana mbwa ukishamjua jina atakusumbua
 
Unaishi kwa historia zilizo expire. Thanks barka kwa kuninyamazishia wote wenye chuki na wasiopenda maendeleo ya wanaojua soccer.
 
Back
Top Bottom