Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi...
MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...
kwa heshima na taadhima ya soka la italia,ninatuma maombi pale monaco keshokutwa kuwaomba UEFA wanipe huyu Barca!namtaka aje Turin.please jamani please!naitaka Barcelona ipangwe na Juve,niionyeshe dunia tatizo la barca lilipo!
MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...
Hahahahahaahha! Dah!MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...
Mimi leo nawaonea huruma Arsenal wangu,sijui tutabugizwa ngapi,kusema kweli beki ya Arsenal ni dhaifu kuliko kipindi chote nilichoanza kuiangalia Arsenal,mzee Wenger sijui kwa nini halifanyii kazi tatizo hili.When barcelona play at their best no one can stop them.
The main problem nowdays barcelona do not play at their best as they paid the price of success.
In some occassion they forget a price and play at their best as they did last night, we see quick passes, attacks from all angles, world class through balls, making a busy day for milan goal keeper,,,,
I believe even if they meet bayern, madrid, juventus etc when barcelona play at their best no one can stop them
Hah hah haaah leo ndio unajuwa mpira Dakika 90?
1st leg we si ulisema Milan lazima wajambe?
Matokeo yake ukapiga mbizi kwenye pipa la lami...
Hah hah hah chezea Buluda wewe!
Mimi leo nawaonea huruma Arsenal wangu,sijui tutabugizwa ngapi,kusema kweli beki ya Arsenal ni dhaifu kuliko kipindi chote nilichoanza kuiangalia Arsenal,mzee Wenger sijui kwa nini halifanyii kazi tatizo hili.
Napata matumaini kuwa nasi leo tunawatoa Bayern........teheteheeeh!
Hukatazwi kuhamia huko Liverpool......kwa kweli huwa sielewi kwa nini washabiki wengi wa arsenal pia ni yanga, binafsi najilaumu sana kuhamia hii timu yenye yeboyebo wengi bora ningebakia zangu Liverpool, wekundu wa Anfield kama wekundu wa msimbazi
Hukatazwi kuhamia huko Liverpool......
itakuwaje fainali ikiwa barcelona vs real madrid,predictions?
safi sana mkuu!unafaa kuwa daktari!Napata matumaini kuwa nasi leo tunawatoa Bayern........teheteheeeh!
MODS toa hii thread ishapitwa na wakati.
Hata maji machafu yanazima moto pia...