ha ha ha ha!!huenda akachezesha na mechi ya arsenalMadrid walikuwa na refa kutoka Uturuki.
Umejiandaaje na maumivu ya kesho pale Bavaria?Gang Chomba timu yako inaongoza kwa kupigwa comebacks katika UCL kwa mechi za ugenini Mwaka 2004 mlimtandika Deportivo la Coruna 4-1 san siro akawagonga 4-0 pale Raizor...Arsenal mwaka jana mlishinda 4-0 pale Emirates mkawa hoi kwa 3-0 leo ndo mmeumbuka kbsaaa poleni sana
When you put up a bunch of boys against disciplined and determined grown as men,the fall is inevitable.
Milan lacked leadership today b'se as far as am concerned they have the ability of scoring goals but unluckily enough the likes of Andre Pirlo and Clerence Seedorf aren't there to see to that.
Pole sana Gang Chomba.

Anza kuvua kabisa uandae huo mgongo ung'atwe
Kucheza na Barcelona unahitaji kuwa na roho saba! Chelsea waliishinda Barca kwa kutumia roho ya saba ambayo ni kupaki basi!
Umejiandaaje na maumivu ya kesho pale Bavaria?
Gang Chomba tunaomba tathmini ya hizi dakika 45. Na pia unaweza kumuelezea vipi mshambuliaji
aliyefunga hizo goli mbili.....Studio
barca hamna kitu msimu huu. Sema wamekutana na timu bovu milan. Timu haina hata foward.
maneno ya kishabiki dhahiri