Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
kuwa mpinzani ktk nchi za Afrika ni kujitoa muhanga maisha yako!! so tundu lisu kishajitoa muhanga wala usishangae coz analala lupango kwa ajili yetu wanyonge!!
This is a very primitive way of thinkingTundu Lissu kalilia wembe kwa muda mrefu Sana. Ni wajibu wa serikali kumuachia wembe huo ili umkate ajue madhara yake,.Hongereni serikali.
Asubiri Wazungu wamtete kwa kudhihaki serikali na Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati mwingine tunahitaji kumkaripia sijonze maana haikii wala haambilikiMdogo wangu unakuwaje mpinzani usiye na staha.Unauzaje utu wako na imani yako kisa uonekane mpinzani? ustaarabu maana yake nini? Siku zote najua upo vzr kichwani, maneno haya maana yake nini na ni kwa ajili ya nani "What matters is not what you say but how you say it".
.....Tundu Lissu kalilia wembe kwa muda mrefu Sana. Ni wajibu wa serikali kumuachia wembe huo ili umkate ajue madhara yake,.Hongereni serikali.
Asubiri Wazungu wamtete kwa kudhihaki serikali na Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Udikiteita hauna siasa za namna gani ni kuupinga. amesema atanyamaza akifa. Swax, hili ulione kama jirani anweza kuja kumchukua mke wa baba yako , na baba yako asema, "Bwana nyakati hizi siasa za zimebadirika" nadhani unanielewa. Mtakubali nyinyi watoto jirani afanye hivyo?Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?
Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi
Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Kama hawezi nyamaza basi anayopitia amejitakia!Udikiteita hauna siasa za namna gani ni kuupinga. amesema atanyamaza akifa. Swax, hili ulione kama jirani anweza kuja kumchukua mke wa baba yako , na baba yako asema, "Bwana nyakati hizi siasa za zimebadirika" nadhani unanielewa. Mtakubali nyinyi watoto jirani afanye hivyo?
Inatakiwa apigwe mahabusu ata miezi mitatu kama alivyofanywa yule wa ArushaTundu Lissu kalilia wembe kwa muda mrefu Sana. Ni wajibu wa serikali kumuachia wembe huo ili umkate ajue madhara yake,.Hongereni serikali.
Asubiri Wazungu wamtete kwa kudhihaki serikali na Rais
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinyamaza ndio tumekwisha, kuna siku litasikia. Akina Nyerere, Mandela wangeliogopa makaburu, tungelikuwa wapi. Ni kupaza kelele. Akifia jela ajue dunia itamwandama.Kama hawezi nyamaza basi anayopitia amejitakia!
yanini tuanze kumpigania mtu ambaye anajua kitu anachokifanya mwisho wake ni kukamatwa
Kwa sasa atulie tu maana hili dikteta halisikilizi mtu na halihitaji kukosolewa
Muda wake unakomea 2020Ukinyamaza ndio tumekwisha, kuna siku litasikia. Akina Nyerere, Mandela wangeliogopa makaburu, tungelikuwa wapi. Ni kupaza kelele. Akifia jela ajue dunia itamwandama.
Rafiki, siyo Tanzania. Unaona Warundi wa Kigoma yanavyomshangilia huko Kigoma. ni kupaaza sauti kuanzia sasa.Muda wake unakomea 2020
Tusubiri tumng'oe kwa kura nyingi za ndio, ila kwa sasa akae kimya tu
Weusi wa South Africa waliandamana na kusonga mbele huku kaburu akiwapiga na risasi za moto na kuwaua mamia kwa mamia ya waandamanaji,lakini pammoja na kuuwawa hawakukimbia wala kukata tamaa walizidi kuimba tu na kuendeleza maadamano nchi nzima hadi kaburu akasalimu amri.Mandela 27 yrs itakuwa selo
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakati hizi zinahitaji siasa za namna gani?
Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi
Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyombo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Kilaza ktk ubora wakoKila mTanzania anajuwa Lisu anasimamia maslahi ya nchi lakini magufuli kwa u kabisa na kuvunja sheria matumizi mabaya ya fedha za umma na u kabisa hataki kuambiwa alimnyamazisha Ben wengine wanaibuka lissu a naangalia na umoja wa mataifa kama mumepata kumtesa
Mkuu it's high time muelewe Lissu vizuri,kama umeshindwa kumwelewa bora ukae kimya kuliko kujianika wazi wazi kwamba hujamwelewa,pole sanaChadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakati hizi zinahitaji siasa za namna gani?
Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi
Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyombo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
We jamaa ulipotelea wapiInasemekana ata Mandela na Jacob Zuma walilala sana selo wakati wakipinga apartheid.