Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Akikaa kimya mjomba anko akawa kagame nani atamfunga breki... muache ampunguze speed ili atupishe aache kutuharibia country bure
 
Msimamo wa Nyerere dhini ya tabia za kidikteta, asema lazima upigiwe kelele

  • Nchi inaongozwa kwa katiba na siyo kwa ujanja ujanja
  • wananchi ni muhimu kuwa huru, wasiwe waoga kupigia kelele viogozi wasiofuata katiba na sheria
  • tusijenge tabia ya kuwa na wananchi wenye hofu kusema jambo linalohusu nchi yao ikiwa haiendi sawa sawa
  • Tuwapigie kelele madikteta
  • tabia ya kuzuia vikao ikemewe na mambo ya nchi yazungumziwe kwa uwazi
  • Maamuzi ya kidemokrasia hutokana na vikao hata CCM pia lazima wasikwepeshe jambo hilo
  • haifai kiongozi kuendekeza udini na ukabila
  • Wabunge lazima kuwa na uhuru wa kuisema serikali na kama anatoka chama tawala akiona hoja zake hazikubaliki aoneshe hivyo kwa kujiuzulu
  • kiongozi asiwe mwoga wa kushawishi jambo kupitia vikao vya chama maana maamuzi ya mtu mmoja kupitia matamko siyo demokrasia

Source: Ade Link TV
 
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.

Hata mimi ningekuwa na madaraka halafu nikutane na mtu ananiambia ukweli tena hadharani kama Lissu ningemfanya kitu mbaya. Kisha najitahidi kuweka wapambe kupotosha alichosema kwani najua wengi ni wajinga na hata kama si wajinga na ni waelewa lakini ni waoga. Ila rohoni ukweli wake utaendelea kunitesa.
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Hopeless kabisa wewe, matusi yako wapi hayo unayo yasema? Na sisasa za kistaarabu ni zipi, kama mnawakamata hata wakiwa kwenye mikutano ya ndani??......
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Siasa siyo sare hadi wote mvae vinavyofanana. Pia tambua kuwa TL siyo mwanasiasa ni mwanaharakati na msomi. Huwezi kuwa mwanaharakati kama kichwani kwako ni kweupe pee.
Angalia maisha ya wanaharakati siku zote huwa ni kuokoa kundi siyo mtu. Imagine Kensaro Wiwa nigeria wa wanaagoni, Mandela S. Afrika.Huwezi kuwa mwanaharakati kwa kutegemea maono upande B. TL yuko sahihi na yuko vizuri. Maisha ya shida mateso mahangaiko kwa mwanaharakati ni jambo la kawaida sana kwake yaani ni sehemu ya maisha yake.
Ni heri ufe mapema ukiitafuta haki yako kuliko kuishi miaka mingi ukilamba viatu vya watu kisa cheo na ulaji.

Viva TL viva. Tuko nyuma yako daima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.
Tanzania hii kweli katika watu wanne mmoja chizi! Mjinga akiamini embe ni apple hata umuelimishe namna gani hata kuelewa atabaki na imani yake hiyo hadi lioze ndio atagundua ukweli.
 
Za kuambiwa changanyeni na zenu nyie viazi wa Lumumba!
 
Hata mimi ningekuwa na madaraka halafu nikutane na mtu ananiambia ukweli tena hadharani kama Lissu ningemfanya kitu mbaya. Kisha najitahidi kuweka wapambe kupotosha alichosema kwani najua wengi ni wajinga na hata kama si wajinga na ni waelewa lakini ni waoga. Ila rohoni ukweli wake utaendelea kunitesa.
Mkuu nimepata taarifa kuwa kuna vijana tena wasomi tuu huko UVCCM kutokana na ugumu wa maisha wanatumikishwa kupotosha mambo kwa ajili ya posho ya kujikimu katika mitandao.
Mbaya kabisa ni kuwa umeingia mchezo hata wa kuwatumikisha kinyume na maumbile vijana hao kwa ajili tuu ya tamaa yao ya kutaka kupata visenti na kuishi maisha ya juu mtaani. Habari hii sikuiamini awali lakini baada ya kuhakikishiwa na kiongozi mmoja ambaye tabia hiyo inamkasirisha sana.
Na kaniambia kuwa vijana wengi wameharibiwa sana ndio maana wakipata na vyeo tabia hiyo inakuwa sugu na ndio hao tunasikia mara wameenda Mombasa mapumziko. Vijana wetu wanaharibiwa na hiki chama, halafu wanajifanya wanapiga vita ushoga kumbe gizani wanatafuna vijana wao.
 
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.
Kile usicho penda utendewe wewe basi usiwatendee na wenzio
 
Tanzania hii kweli katika watu wanne mmoja chizi! Mjinga akiamini embe ni apple hata umuelimishe namna gani hata kuelewa atabaki na imani yake hiyo hadi lioze ndio atagundua ukweli.
Ni kweli, pia Tz hii hii, kati ya watu wanne, mmojawapo ni nyumbu, hata ulieleweshe vipi atabaki na msimamo wake, ndio maana yanaliwa sana na mamba.
 
Yaani unataka lisu akae kimya lisu hakai kimya na hata chadema aitakaa kimya
 
Hata mimi ningekuwa na madaraka halafu nikutane na mtu ananiambia ukweli tena hadharani kama Lissu ningemfanya kitu mbaya. Kisha najitahidi kuweka wapambe kupotosha alichosema kwani najua wengi ni wajinga na hata kama si wajinga na ni waelewa lakini ni waoga. Ila rohoni ukweli wake utaendelea kunitesa.
Basi bora Magufuli aendelee madarakani, sababu sijaona kitu mbaya alofanyiwa Lisu, kama kweeli unaelewa kitu mbaya ni nini. Nyinyi wengine ndio mngemtoa uhai kabisa.
 
Hakuna cha alama za nyakati ww,hii ni karne ya 21,mambo ya kuogopa kiongozi yalishapita na wakati enzi hizo karne ya 5.saiv ni mchakamchaka tu
 
Back
Top Bottom