Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Lissu soma nyakati, na ukae kimya

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakati hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyombo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Siasa zinazohitajika nyakati hizi!!!
 
Napata shida sana na vijana wa siku hizi,hivi ukikaa kimya bila kuropoka ,kuna madhara gani?kwa siasa za Tanzania hakuna mpinzani wa kweli hajaonza adha ya siasa za ccm na hasa kipindi hiki,kila maoni ya upinzani kukidhana na hoja za upande wa pili aidha utatolewa bungeni au utawekwa masaa 48au mwisho kesi ambazo ni big G zinakaa kuda mfupi mahakamani na mwiaho mahakama inazifuta kwa kukosa ushahidi.Nachelea kusema tusishabikie khali hii ambayo sote tumeanza kuishangaa,ni chanzo cha mmomonyoko wa mshikamano,amani,upendo na utulivu maana inagikia hata jamii inauona udhalimu huu.Tujenge taifa lenye umoja,mshikamano,itulivu na umoja ,na vichecheo vya kusitawisha na kuimarisha hayo ni uoendo uliojengwa na haki,maonevu,ni machikizo hata Mungu hayapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.
 
Tumeshaambiwa anatumwa...

Anapenda bahasha za khaki sana huyu

Ila kwa uwoga eeeeeeeh... anajua kuongea mdomo mbele kutafuta kiki yakimkuta eeeeeeh kudonoa tu viherufi ka vile mawakili hawana kazi wakimbilie kumuokoa

Anatenda ya siasa kwa kuongea... msaada anawalilia mawakili... hata Chadema hawaamini tena

Jana eeeh akawaeleza mawakili... wachama akawaweka chemba hawana msaada kwake eeeh

Tundu Lissu:
Dear members.
Greetings from your President wherever you may be.
 
Tumeshaambiwa anatumwa...

Anapenda bahasha za khaki sana huyu

Ila kwa uwoga eeeeeeeh... anajua kuongea mdomo mbele kutafuta kiki yakimkuta eeeeeeh kudonoa tu viherufi ka vile mawakili hawana kazi wakimbilie kumuokoa

Anatenda ya siasa kwa kuongea... msaada anawalilia mawakili... hata Chadema hawaamini tena

Jana eeeh akawaeleza mawakili... wachama akawaweka chemba hawana msaada kwake eeeh
Unajidai huna chama, lakini unaonesha chuki dhahiri kabisa.

Hayo ni maneno yako yanayoakisi jinsi ulivyo. Sawa ushabiki hatukatai kwa lile unalolipenda lakini ushabiki ukipitiliza unakuwa sio ushabiki.

Mchukieni TL na mkamateni kadri muwezavyo lakini ipo siku itakuwa ni aibu kwenu.
Ukweli utasemwa tu hata kama mzuie kila kitu(media zote).

Kaeni mkijua kuwa hivyo mnavyofanya mkidhani mnamdidimiza kumbe mnamtangaza na kumuongezea kujulikana zaidi na mazuri yake kujulikana pia.

Sijawahi kuona utawala usiojiamini kama huu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.
Kila mTanzania anajuwa Lisu anasimamia maslahi ya nchi lakini magufuli kwa u kabisa na kuvunja sheria matumizi mabaya ya fedha za umma na u kabisa hataki kuambiwa alimnyamazisha Ben wengine wanaibuka lissu a naangalia na umoja wa mataifa kama mumepata kumtesa
 
Back
Top Bottom