Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Anataka aje kuwa Mandela wa pili.

Hivyo muache atimize Ndoto yake mkuu.
 
Akae kimya ili iweje? Ebu tutolee ujinga wa diamond hapa.
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika

Watanzania wote tukikaa kimya itakuwaje, angalao yeye aongee kumkumbusha Mkuu kuwa na yeye pia ni Mtanzania na alichaguliwa kwa kura za wananchi
 
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.
Nashindwa kuunganisha nyuzi ili hili limejibiwa, kwa ufupi Mabwana zake Lissu ndio,
  • Wanaochangia asilimia 60% ya budget yetu
  • Wanaotusaidia katika chanjo na madawa ya magonjwa makubwa kama Ukimwi na malaria
  • Ndio wanaofadhili hata ile Mkapa Foundation ambayo juzi nyumba zilizinduliwa huko Chato
  • Ndio mliowapa mikataba ya kuchukua madini watakavyo
  • Ndipo alipokwenda kutibiwa naniii wakati uleeee
Tuweke akiba ya maneno,mtu akiwa na maoni tofauti haina maana kama kanunuliwa.TL alipambana na wawekezaji wa madini miaka hiyo wakati serikali ikiwa imepagawa na uwekezaji wa kutoka nje.Ha
 
Baada ya Lema sasa ni huyu mtu
Kuropoka kwake niSumu kwa Taifa
Serikali ingelimuache Kiukweli Tungeilaumu sana
 
Ukweli viongozi hawautaki na wananchi pia wameanza kuukataa mama yangu

Sent from my Blackberry DTEK70 using JamiiForums mobile app
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Kwa hali ya siasa zilivyo sasa, hamna jinsi nyingine ya kufanya isipokua hiyo. Tundu yuko sahihi. Ni lazima wawepo watu wa kukosoa ili wakubwa wakae sawa, kama sivyo tutashtukia tunazidi kutokomea chakani.
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Nyie watu wa chato mkiambiwa ukweli mnaita uchochezi Mara aangalie nyakati alichosema ambacho niuwongo nikipi labda? Hana ukabila? Hanaundugu kwenye uwongozi wake? Hana maneno yanayowagawa viongozi wakisiasa na wananchi? Haachi katiba ya nchi na kuyafanya maneno yake ndiyo sheria? Tusijifanye mahayawani tusio jua chochote nyie wanafki wa kitz unafia chama ukiukana ukweli
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Mkuu... Labda umebobea kwenye sheria.
Embu tusaidie na sisi uku ni vifungu vipi vya sheria TL kavivunja..???
Au unaropoka tuuu kwa njaa yako ya buku7.
Izo pesa mnazokula na kutetea wapuuzi ka lile zee iko siku zitawatokea puani dictator hana fadhila. Sunamuona nape alivofanywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimepata taarifa kuwa kuna vijana tena wasomi tuu huko UVCCM kutokana na ugumu wa maisha wanatumikishwa kupotosha mambo kwa ajili ya posho ya kujikimu katika mitandao.
Mbaya kabisa ni kuwa umeingia mchezo hata wa kuwatumikisha kinyume na maumbile vijana hao kwa ajili tuu ya tamaa yao ya kutaka kupata visenti na kuishi maisha ya juu mtaani. Habari hii sikuiamini awali lakini baada ya kuhakikishiwa na kiongozi mmoja ambaye tabia hiyo inamkasirisha sana.
Na kaniambia kuwa vijana wengi wameharibiwa sana ndio maana wakipata na vyeo tabia hiyo inakuwa sugu na ndio hao tunasikia mara wameenda Mombasa mapumziko. Vijana wetu wanaharibiwa na hiki chama, halafu wanajifanya wanapiga vita ushoga kumbe gizani wanatafuna vijana wao.
Kweli kiongozi ndohawa unawaona humu wanatetea ud..uchwara wanaliwa viboga kwa tamaa tu
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Kuusikiliza moyo kuna punguza ufikiri jaribu kuisikiliza akili yako na sio moyo wako nafikiri ukijifunza hili hautakuja na mabandiko ya namna hii tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Wewe mbona hujakaa kimya?
Tumeanza lini kupangiana maana kiongozi wenu alizuia kupangiana mambo.
Mwambie kiongozi wa chama chenu kuwa asiwe msemaji wa chama wakati ”harakaharaka" yupo.

.... you can't convince, then confuse....
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika

Usimfundishe woga
 
Nyakati hizi ndo nyakati gani? Kuliwahi kuwa na nyakati mbaya zaidi ya hizi hapa Tanzania na kwingineko
 
Back
Top Bottom