Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakatu hizi zinahitaji siasa za namna gani?
Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi
Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyimbo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
uchu wa madaraka tu kajawa hana lolote