Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Lissu soma nyakati, na ukae kimya

Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakati hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyombo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Pole sana. Hutaki watu waseme? Hutaki watumie haki yao ya kikatiba?Wataka Lissu ashangilie uvunjaji wa katiba na uminywaji wa haki za binadamu na za kisiasa ndio umsifu. Aogope polisi na wasiojulikana wanaolipwa kwa kujenga uoga kwa wananchi, kama wewe? Tafuta kazi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaeshabikia uvunjaji wa katiba BILA ya aibu, walipwa na nani, SHETANI?
Atakaaje kimya wakati analipwa na mabwana zake kuhakikisha ana destabilize nchi, kwa iyo ndio maana unaona anajitoa faham. Wacha aendelee kuwalia hela huku akisota rumande, anadhani matamko yake yatabadilisha kitu, atabadilishwa yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
@Mod mkafikiri kuiban id ya mr swax ndio kunizuia kabisa kuingia jf
mkahisi kuchukua content zangu ni kama kunikata kichwa, kweli mnauwezo mdogo wa kufikiri
 
Chadema inawanachama na viongozi wa juu zaidi ya Tundu lissu, ni nini kinamfanya huyu Lissu ashindwe kutulia na kusoma nyakati hizi zinahitaji siasa za namna gani?

Kwa namna ya siasa ambazo Lissu amezoea kuzifanya kwa nyakati hizi lazima zitakugharimu na kukupoteza kabisa kabisa katika ramani ya siasa
Siasa zako zimeegemea sana matamko ambayo hulopoka tu pasi kufuata taratibu na unajikutuka uko mikononi mwa polisi huku ukijua wazi unachokifanya ni kinyume na sheria za nchi hii, itakucost saana kwa nyakati hizi

Lissu kwa sasa Tanzania haihitaji siasa za uchochezi na uchonganishi bali tunahitaji siasa safi zenye tija kwa taifa
Sidhani kwa sasa unaweza hata chomoka katika vyombo vya dola, hii lazima ufundishwe kwamba rais na serikali yake inahitaji kueshimiwa, kaa mahabusu uko akili zikuingie utajua tu nyakati hizi ni siasa gani zinaitajika
Wahenga walisema 'Akili nyingi huondoa Maarifa'
 
Hakuna mahali Lissu alipomtukana Mtukufu sana Rais wa Malaika.Hakuna alichoongea kisicho na ushahidi.

Mara Nyingi hoja hupingwa kwa hoja na so kumuweka mtoa hoja Rumande
Hakiri nyingi huondoa maarifa! Risu alijiona kuwa anahakiri nyingi kuliko watanzania zaidi ya ml.50. Alikimbilia huko ugaibuni wakamwambia atututukana watanzania.

Sasa amemaliza kututukana namalipo waliyomlipa nayo yameisha anaanza kuomba asaidiwe kurudi nyumbani!
Chakujiuliza anaogopa nini sasa ? Aludi nyumbani tu! Kesi zake zinamgoja vinginevyo wadhamini wake atawatia gerezani.
 
Back
Top Bottom