PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tlaatlaal anacheka, umemfurahisha chawa mwenzako. Acheni unazi lissu hakumaanisha uasi wa kupindua nchi
Sasa hayo maneno mtamuqmbia Hakimu. Lakini Serikali imekamilisha kazi yake. Na Hakimu atapima ukweli na kutoa hukumu.

Tulikwisha wawmbia muda mrefu kuwa MWENYEKITI wenu hama MSHIPA kuchuja maneno ya kuongea. Linaropoka tu
 
Kwasisi ambao tuko nje ya hili taifa la futuhi, kuna wakati mpaka unaona aibu kujitambulisha kuwa mimi ni mtanzania.

Yaan mtu ameanza kutumikia adhabu kabla hajahukumiwa?
 
Huko ndiyo kumamfaa ili apate uzoefu wa waliohukumiwa kunyongwa. Inawezekanaje kweli mtu kutaka kuanzisha uasi kwa nchi tulivu na ya amani kama Tanzania?

Mwambieni aendelee kula mtori nyama ziko chini!! Uahidi kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi halafu SERIKALI ikuchekee tu??? No way
Leteni Ushaidi sasa Mahakamani
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Mwambie atulize makalio, rumande siyo parokiani unachagua kiti cha kukaa. Rumande siyo Makao Makuu ya CHADEMA unakaa kwenye kiti cha kuzunguka na AC. Rumande siyo hoteli unakaa na kuhudumiwa.

Ukiamua kuwa MWANAHARAKATI mropokaji JIANDAE na mazingira yote utakayokutana nayo.
 
Kwasisi ambao tuko nje ya hili taifa la futuhi, kuna wakati mpaka unaona aibu kujitambulisha kuwa mimi ni mtanzania.

Yaan mtu ameanza kutumikia adhabu kabla hajahukumiwa?
Aibu kubwa sana, mama ametukata matumaini kabisa sasa anapewa miaska 5 tena nchi itaskua je hapo, mtu anapotezwa hadharani na ndani ya wiki moja watu wanasahau kabisaa, linakuja jipya lya kudandia.
 
Kwa hiyo wakikuuliza unasema wewe Taifa gani? Hebu liseme hapa tulinganishe na Tz
 
Amewakata matumaini wewe na nani? Usiwasemee wengine, isemee nafsi yako tu
 
Mwambie atulize makalio, rumande siyo parokiani unachagua kiti cha kukaa. Rumande siyo Makao Makuu ya CHADEMA unakaa kwenye kiti cha kuzunguka na AC. Rumande siyo hoteli unakaa na kuhudumiwa.

Ukiamua kuwa MWANAHARAKATI mropokaji JIANDAE na mazingira yote utakayokutana nayo.
Manaake nchi haina utaratibu unafuata utashi wa kiongozi, don't be a fool reason kama sane person.
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Sijajua kwanini saa100 asipigwe shab..a akiwa huko Kanda ya ziw..a
 
Manaake nchi haina utaratibu unafuata utashi wa kiongozi, don't be a fool reason kama sane person.
Unataka wafuate utashi wa moron Covax? Wasifuate utashi wa kiongozi? That will be banana republic
 
Mdogo mdogo tunaenda kuwa kama North Korea
No never, haiwezi tokea. Mfumo wetu uko vizuri, jiandae kusherehekea ni suala la muda tu haya yote yataisha msela wangu na tutapata kiongozi mwingine atayeomba radhi kama alivyoomba radhi Dkt Samia pale alipoapishwa kuwa rais wa JMT.
 
KESI YA MAMA

MAGEREZA YA MAMA

MAHAKAMA YA MAMA

ASKARI WA MAMA

HAKIMU WA MAMA

WAENDESHA MASHTAKA WA MAMA

KARANI WA MAMA

KISUTU YA MAMA
Hukumu ya.........
Kitanzini Iringa patamhusu mtuhumiwa
 
Unataka wafuate utashi wa moron Covax? Wasifuate utashi wa kiongozi? That will be banana republic
Wewe unataka kutuambia nchi hatuna written constitution na by laws nchi gani mtuhumiwa awekwe kwenye section ya condemn? Hata kama unampenda mama kwa hili kakosea kabisa.
 
Kwa hiyo wakikuuliza unasema wewe Taifa gani? Hebu liseme hapa tulinganishe na Tz
Usipende kujibu kwa mihemko, soma uelewe..,..

Sikusema kama najitambulisha kuwa ni raia wa nchi nyingine,bali nimesema naona aibu kujitambulisha kama mtanzania, maana matukio mengi yanayotokea huko taarifa zinafika mpk huku..
 
Back
Top Bottom