Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake.
Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi?
Hii ndio Dunia...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani.
Shauri hilo limefunguliwa...
Tundu Lissu akiwa mahakamani, amesikika akisema; "Kama walikuwa wanataka kunikondesha, watafute utaratibu mwingine!"
Mwenendo wa Kesi ya Uhaini >> Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
Kuelekea kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika ametoa wito kwa jeshi la Polisi kuupuzia taarifa za uongo wanazodai za 'Kiintelijensia' za baadhi ya Polisi kuwa wamepata taarifa wanachana wa chama hicho watafanya fujo na vurugu ili...
CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda.
Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche.
Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi.
Ccm wakampeleka Lissu...
Wakuu
Leo Lissu ametinga na chakula kizimbani na kusema maneno haya, "Una chakula cha kutosha kila kheri" Wakili Peter Kibatala akizungumza na Lissu kabla ya kesi kuendelea hapa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ndogo ya Dar es Salaam.
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu inaendelea leo Oktoba 6 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Akiwa mahakamani, Lissu amehoji kitendo cha tarehe ya hukumu kuwepo tayari wakati hilo upande wa mashtaka na utetezi haujaanza kusikilizwa
Tundu Lissu amesema
Hii kesi...
CHADEMA kupitia mitandao yake ya Kijamii, imetoa taarifa kuwa Jeshi la Polisi limeanza kupiga picha Mahakama Kuu Dar es Salaam ambako leo wanachama wa chama hicho wamekusanyika kusikiliza shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa chama hicho.
----
Tukio la Jeshi la Polisi kupiga picha...
Mabalozi na wawakilishi wa balozi mbalimbali wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu A Lissuambapo leo itaanza kusikilozwa.
Katibu Mkuu John Mnyika akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini...
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
Jeshi la Magereza limekanusha malalamiko ya CHADEMA na mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kwamba alisukumwa mahakamani Julai 30, 2025 alipokuwa akitoka mahakamani.
Badala yake Magereza wamesema askari walikuwa wakimwelekeza kiongozi huyo kutoka mahakamani.
Taarifa iliyotolewa na...
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka.
Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
Makosa 10 Lissu Mahakamani Jana, Apuyanga Sheria, Ni Kheri Alivyojivua Uwakili kwa Muda!!
Na Mwandishi Wetu
Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu jana ameendelea kufanya makosa ya msingi mahakamani ambayo yataendelea “kumcost” kisheria na hata kisiasa. Twende moja kwa moja sasa.
Kuendelea...
Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha...
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.
"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu alivyogoma kuzungumza na Mawakili wake wakati Askari wamemzunguka.
Lissu anahoji;
"Hakimu amesema mshtakiwa abaki na mawakili wake pekee yao for consultation. Nikiwa gerezani askari wananizunguka. Hakimu amesema nibaki na mawakili wangu bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.