Mwanakulitafuta
Senior Member
- Sep 11, 2024
- 144
- 277
Ila watanzania tumekufa kabisaaaa yaani tunashindwa kuona kuwa TL anatupigania tuamue kwa pamoja wamuachie? ,kuna wakati mtu unafikiria ni bora sisi wote tufe labda kinaweza kutokea kizazi cha kuisadia hii nchi na sio sisi tuliopo