Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.
"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.
Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"