YoungPastor
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 774
- 1,345
Acha kuzua taharuki.
Sijaona bado kama hawa majaji wanaweza kuamua vinginevyo. Walikuwa na hiyo nafasi tangu mwanzo kabisa ila ni dhahiri tayari wanayo maamuzi yao.Umefeli.
Kwenye hii nchi tayari tumeshaishi taharuki. Na tumechagua kuiishi hivyo. Tunaoongozwa na wajinga kuangamiza wenye upeo, na tunaonabni sawa tuu. Kumfunga Lissu hata kwa siku moja inatosha kukuonesha sisi ni taifa la namna ganiAcha kuzua taharuki.
Kwanini serikali inapata shida sana kuleta mashahidi na ushahidi mahakamani?Sijaona bado kama hawa majaji wanaweza kuamua vinginevyo. Walikuwa na hiyo nafasi tangu mwanzo kabisa ila ni dhahiri tayari wanayo maamuzi yao.
Hao majaji ni vilaza wakubwa. Wanadai hawajaingia kwenye ubora wa ushahidi wa serikali ila wanadai Lissu ana kesi ya kujibu.Sijaona bado kama hawa majaji wanaweza kuamua vinginevyo. Walikuwa na hiyo nafasi tangu mwanzo kabisa ila ni dhahiri tayari wanayo maamuzi yao.
Hivi huko Lumumba mliongezewa posho au bado ni buku 7
Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Lissu hana washauri , kazungukwa na machawa ambao hata akitukana wanasema ''msomi huyo , msoni huyo '' ..Hii kesi ilishaisha kwa vile kulikuwa hakuna haja ya kutoa ushahid, makosa yako wazi ;walimfuata ili kesi imalizwe akajiona anaweza kutetewa na vijana wake wa ughaibuni pamoja na machawa wake .
Leo naona hata anachoongea hajui 😀
Yaani huyo jamaa tatizo lake , kazungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kumshauri hata kidogo .Rufiji tumemkimbiza Muindi
🤠🤠🤠
Sasa tuseme Wakimdodosa upande wa Serikali 😂
hakiulizwa Jamhuri imepata faida gani leo tofauti na uko nyuma👈
Muindi hangewekeza ile mipesa sindio faida zaidi ‼️
Sio kwamba Jamhuri ingekuwa inapokea mipesa kupitia kodi mbali mbali na kutengeneza ajira nyingi kwa wanyeji usika🤠🤠
Lissu sijui hatajibu nini🦘🦘
2030 sio mbali, watamtoa tu,
Je wewe utaponaa?Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana
Wapenda mabadiliko hatuangalii akili za majaji wanaoteuliwa na mwenyekiti wa ccm, aliyemfunga gerezani mpinzani wake kwa hila! Tunachoangalia hapa ni historia kuandikwa kwa ajili ya kizazi chasasa, na kile kijacho.Labda majaji wapate akili siku za mbele. Zingatia hapo
ongelea legal arguments, je zina uzito? kama zina uzito, then ishia hapo. Why? maana hata kama zina uzito mkubwa, kama samia atelekeza fanya hivi, hata akija Trump, hatasaisia labda aje na madege....Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana