Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,423
- 2,187
- Thread starter
- #61
Binafsi nimeshaumia sana na hii kesi mpaka kulia nimelia. Kila nikimsikia Lissu akifanya mawasilisho yake au cross examinations zake naumia kwa jinai alivyo innocent lakini from nowhere majaji wanaamua kwa jia zao za kijima.Mnabii wengi walihukumiwa, kudhulumiwa na hata kuuawa kwa sababu ya kusimamia ukweli!
Watamhukumu! Watamuua... Lakini wengine watakuja wakijua wapi pa kuanzia!
Maji yashakorogeka haya!
Nakata tamaa