Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,417
- 2,171
Nimeifuatilia hii kesi kwa karibu sana tangu mwanzo. Nimeifuatilia zaidi ilipofika kwa majaji huku mahakama kuu.
Itoshe kusena kuwa kwa ushahidi wa serikali na utetezi huu anaoendelea kuutoa, na mitazamo ya majaji, ni dhahiri Lissu hachomoki. Atahukumiwa tuu. Labda majaji wapate akili siku za mbele. Ila kwa hii akili walio nayo kwa sasa? Mashaka ni makubwa sana