Yaani huyo jamaa tatizo lake , kazungukwa na watu ambao hawana uwezo wa kumshauri hata kidogo .
Kweli kabisa Mkuu👈
ile Kesi siku baada ya siku inadhidi kumwelemea yeye Lissu👈
Angeuza ile kesi kwa wenzie
Lkn lengo lake kujimwambafai tu kuwa yeye hashindiki 🤠ðŸ¤