Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

Huyu ndiye mtetezi wa madini yetu kabla hata hujazaliwa.
Mkapa alimfunga kisa akipigania madini na mikataba mibovu
TUMENYOLEWA NYWELE? HUYU MZEE WA KIKI WENU SI ALIBWABWAJA KUWA TUKIGUSA MIKATABA YA MADINI TUTANYOLEWA NYWELE BILA MAJI? AU ALIKUWA KACHANGANYIKIWA?
 
Hata kuandika kwa Kiswahili fasaha hujui, eti "kupereka"... typical Jiwe Supporter!

Sasa ikiwa hata kuandika tu hujui, ndo utaweza kumwelewa mtu kama TL!! Ndo utakuwa na uwezo wa kutafuta habari tofauti na zile mnazolishwa na akina Polepole!!
HAKUNA IKULU YA KUPELEKA KIWANDA CHA MATUSI.
 
TUMENYOLEWA NYWELE? HUYU MZEE WA KIKI WENU SI ALIBWABWAJA KUWA TUKIGUSA MIKATABA YA MADINI TUTANYOLEWA NYWELE BILA MAJI? AU ALIKUWA KACHANGANYIKIWA?
Jambo usilolijua ni kuwa kelele zake zilisaidia ndio maana mliwaita wale mliowaita "wanaume kweli kweli" kwa mujibu wa JPM.
Kibaya zaidi hujui kilichozungumzwa ni kitu gani kwani hata mrejesho hatukupewa.
Hebu watanzania tuamke acheni umbumbu huu wa kiccm.
Tunashabikia kila ujinga kwa itikadi za kijinga ilhali wachache wanafaidi
 
KELELE ZA KIZANDIKI NA KINAFIKI . KWANI LILIPOKUJA SWALA LENYEWE LA KUSHUGULIKIA HIYO MIKATABA MIBOVU HUYO JAMAA YENU HAKUUNGA JUHUDI ZILE ZA KUKOMBOA MADINI YETU, ZAIDI ALITOAVITISHO NA KUWAKATISHA TAMAA WAPAMBANAJI HUKU YEYE AKIWATETEA WALE MABEBERU??
TENA ASITUKUMBUSHE ULE UUPUUZI ALIOUFANYAA
 
Nimegundua kuwa una kreki kichwani.
Lissu hakuzuia bali alitoa tahadhari ichukuliwe
 
Nimegundua kuwa una kreki kichwani.
Lissu hakuzuia bali alitoa tahadhari ichukuliwe
ALISHINDWA NINI KUUNGANA NA MASHUJAA WAKITANZANIA WAZALENDO? HALAFU YEYE AKAISHIA KUTOA MATAMKO YA YA ZANDIKI YA KUWAKATISHA TAMAA MASHUJAA WALE??
KAMA KWELI ALIKUA NA UCHUNGU WA KUPOTEA MALI ZETU YEYE KAMA MTANZANIA, ALISHINDWA NINI KUUNGANA NA MASHUJAA ILI KUPIGANIA MALI ZETU? ZAIDI ALIBWABWAJA ETI ATAKAE GUSA MIKATABA ILE TUTANYOLEWA BILAMAJI?
ALIKUA ANATAZAMISHA NINI, NAWAKATI YEYE ALIKUA MBUNGE NA MIJADALA IKO BUNGENI?
WAZUNGU WAKE WATAMGARIM PAKUBWA.
 
Mleteni faru john na Zile trion moja
 

Utopolo FC.

Huyu anayezunguka na ma V8 takribani 100 kwenye kampeni kutueleza yale yale kila siku ana uchungu upi na raslimali za nchi hii?

Huyu aliyetumia raslimali lukuki kununua wagombea, wabunge na madiwani pia kurudia chaguzi?

Zaidi sana wapi 1.5 Tr yetu? Vipi viwanja vya huko Chatto vina baraka zake yeye mwenyewe tu?

Inabidi kuwa msukule kuamini kuwa huyu ndiyo champion sasa wa kulinda raslimali za taifa hili.
 
Ni kweli alipambana lakini ipo film inayotoa conclusion kwamba every man has his price. Bei ya Lissu ilishafikiwa siku nyingi sana na mengine yote yamebaki historia. Leo hii ndo anawachaji wenzake wa CDM milioni 20 ili kuwatetea mahakamani.

So, he is at his highest level of lust for money! Kelele zote unazosikia ni tamaa ya pesa tu!
 
CCM mlikotufikisha mungu anajua.mwinyi,mkapa, JK bado hamna haya ya kuomba kura kwa wananchi?
 
NIKIKUMBUKA HUYU JAMAA ALIVOPANDISHA MISHIPA YAKE KUWATETEA WAZUNGU WALE WEZI WA MADINI YETU. AKABWABWAJA ETI RAISI AKIGUSIA MIKATABA YA MADINI WAZUNGU WATATUNYOA NYWELE BILA MAJI. HALAFU LEO HUYU HUYU ANATULAZIMISHA TUMPE URAISI, KWELI????
Hivi hayo madini hao wazungu walipwewa na nani? Aliyewapa ndio alianza kuuza nchi!
 
Hivi hayo madini hao wazungu walipwewa na nani? Aliyewapa ndio alianza kuuza nchi!
KWAHIYO KWAKUWA WALIPEWAA KWA KUSAINI MIKATABA ISIYOKIDHI, INAMAANA TUKIKUMBUKA KWAMBA TUNAIBIWAA, TUENDELEE KUWAACHIA TUUU?? BILASHAKA JAMAA YENU HAJUI MASHARITI YA MIKATABA YA UWEKEZAJI KWA PANDE MBILII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…