Lissu awajibu wanaopinga TLS kumshitaki Makonda

Lissu awajibu wanaopinga TLS kumshitaki Makonda

Ha ha ha haaaa

Yale yale kama anajiamini angesubiri huko anapotaka kwenda kufungua kesi, hamna kitu kipya hapo zaidi ya kuisoma namba.

Yaani ni kama hatuna Raisi, imefika muda hili jambo litanyoosha hawa viongozi wanaoshika vyeo na kutaka kutanua kwa kula pesa za wananchi ovyo na kuvunja sheria.

Kideo cha jana kasema mwenyewe kuwa awaku hii ni moto moto kwao.

Angelaa kimya tu, kuliko kuandika ambacho hata akijaleta jipya. Hapa aiseeeeeee inasikitisha

Kweli Magufuli ni Kiongozi aliyeletwa na Mungu.

Lori hiloooooo linapita kwa kasi

Hapa kazi tu

Makonda oyeeeee
You're trolling and have always done so. Had I been one of the mods in here, you'd have received a lifetime ban a long time ago.
 
Wapi nimeandika ligi!? Sasa kama Waziri wa Wizara husika anachapa usingizi kwenye majukumu yake ya kusimamia sheria za nchi kwanini asiamshwe!?
Wenye kulinda miiko (ethics) ya kitaaluma huwa makini katika kushughulikia suala husika.

IWAPO Tundu Lissu ana ushahidi wa kumfikisha RC Makonda, kama mwanasheria mzoefu, anajua taratibu stahiki za kuchukua. Hili analolifanya la kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, siyo tu ni kinyume cha taaluma yake, pia hamtendei mtuhumiwa haki.

Hivyo nahoji 'personal integrity' yake Tundu Lissu na kiwango chake cha UTU.
 
No one is sure about makonda everyone is making speculations to get answers after all it is not important enough to be dealt by the president of TLS this is why people are suspecios about his leadership

One
Kwa hoja yako ni sawa kabisa mahakama ndiyo mahali muafaka pa kumaliza utata
 
Am not opposed to Lissu's ambition of suing RC Makonda. What am saying is that, Lissu has a lot to do. And RC Makonda's issue is already in the hands of Ethics Committee. I don't see the reason why TLS under the leadership of Lissu is also planning to sue him even before the Ethics Committee has worked on it. It is a wastage of time for everyone to deal with RC Makonda
" A lot to do " is what he's doing Now.
 
You're trolling and have always done so. Had I been one of the mods here, you'd have received a lifetime ban a long time ago.
Exactly, this narrow minded chick deserves lifetime ban as coz this debate isn't her level (her comments prove that)
 
Tundu Lissu kwa taarifa yako hakuna uvamizi uliyofanyika pale Clouds Media na Makonda kama Mkuu wa Mkoa wewe hangaika na Mahakama lakini ujue hivyo.

Makonda hajafanya Jinai yoyote na halindwi na mtu yoyote kama shutuma anazozitoa Gwajima na Mange ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya chuki tu ambayo na Lissu ameingia huko naye.

Tundu Lissu CCTV footage unazoona kama ushahidi wako hazina kitu chochote zaidi picha kama picha zingine za series tu,utakuwa wakili wa ajabu sana kama una base kwa CCTV footage kama kiini cha ushahidi wako.

Kwa taarifa yako hakuna uvamizi pale narudia tena

Kuhusu uhakiki wa vyeti Serikali ilishatoa Maelezo yake kuhusu zoezi na nini kinachoendelea na zoezi hili halijawahusu vyeo vya kisiasa na mwanasiasa.

Rais anaweza akakuteua Leo na kukutimue Leo Leo pia wala si ajabu.Kutimuliwa kwa Nape kusikutie kiburi eti kutakusaidia ktk kesi.

Nchi INA inaongozwa kwa kufuata Katiba wala hakuna udikteta kama unavyosema ktk Maelezo.Shida ya watanzania wengi na wewe ni shahidi ni wagumu kufuata sheria. Sasa inapotokea kiongozi anasimamia sheria watu wanaona ni mkali na hafuati katiba na Tundu Lissu ni mmoja wapo.
 
Despite the fact that they didn't seek advice from the victim(clouds), TLS as a citizen still have legal right to sue RC makonda to clear these allegations
Who will be their principal witnesses ?
 
Wenye kulinda miiko (ethics) ya kitaaluma huwa makini katika kushughulikia suala husika.

IWAPO Tundu Lissu ana ushahidi wa kumfikisha RC Makonda, kama mwanasheria mzoefu, anajua taratibu stahiki za kuchukua. Hili analolifanya la kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, siyo tu ni kinyume cha taaluma yake, pia hamtendei mtuhumiwa haki.

Hivyo nahoji 'personal integrity' yake Tundu Lissu na kiwango chake cha UTU.
Na wewe vipi unavyotumia mtandao huu kwa tuhuma tu?
 
Lissu a seasoned lawyer, seems to be ignorant on the Rules of Natural jusitice, contratry to Article 13 of CURT ,1977. Why is he condemning Paul Makonda unheard?
Haaaa so what makes Bashite to be silent??
 
Tundu Lissu kwa taarifa yako hakuna uvamizi uliyofanyika pale Clouds Media na Makonda kama Mkuu wa Mkoa wewe hangaika na Mahakama lakini ujue hivyo.

Makonda hajafanya Jinai yoyote na halindwi na mtu yoyote kama shutuma anazozitoa Gwajima na Mange ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya chuki tu ambayo na Lissu ameingia huko naye.

Tundu Lissu CCTV footage unazoona kama ushahidi wako hazina kitu chochote zaidi picha kama picha zingine za series tu,utakuwa wakili wa ajabu sana kama una base kwa CCTV footage kama kiini cha ushahidi wako.

Kwa taarifa yako hakuna uvamizi pale narudia tena

Kuhusu uhakiki wa vyeti Serikali ilishatoa Maelezo yake kuhusu zoezi na nini kinachoendelea na zoezi hili halijawahusu vyeo vya kisiasa na mwanasiasa.

Rais anaweza akakuteua Leo na kukutimue Leo Leo pia wala si ajabu.Kutimuliwa kwa Nape kusikutie kiburi eti kutakusaidia ktk kesi.

Nchi INA inaongozwa kwa kufuata Katiba wala hakuna udikteta kama unavyosema ktk Maelezo.Shida ya watanzania wengi na wewe ni shahidi ni wagumu kufuata sheria. Sasa inapotokea kiongozi anasimamia sheria watu wanaona ni mkali na hafuati katiba na Tundu Lissu ni mmoja wapo.
Povu tu jpm mwenyewe phd yake ilihojiwa na Ben akampoteza.

Mtahangaika sana haki inapiganiwa haiombwi. Ingia kwenye mapambano.
 
You're trolling and have always done so. Had I been one of the mods in here, you'd have received a lifetime ban a long time ago.

Ha ha haaaaaaa

Kumbe yangu yanakuuma hivyo, mbona yenu haujiambii mtendewe hivyo!!!!!!

Shukurani kwa kuninoti kuwa nipo supa
 
The language used here is not of the learned brother. Nobody can be judged as a thug until proven by the Court of Law. TLS you dont have a learned brother as a your president.Shame on you
Ni afadhali tu angeandika kwa Kiswahili. Angeeleweka zaidi na kuonekana msomi. Hakuwa na haja ya kujitutumua kwa Kiingereza cha kuunga-unga.
 
Bado anajichanganya na hawezi kukwepa ukweli kuwa anajichanganya.

Hivi itakuwaje endapo TLS ikiprosecute case ambayo mwanachama wake anakuwa Defense Counsel wa kumtetea Makonda kitu ambacho ni likely kutokea?

Chief hilo ulilolisema (maandishi mekundu) hakika linamvua nguo ya uwanasheria Lissu na kumwacha uchi.
 
Wenye kulinda miiko (ethics) ya kitaaluma huwa makini katika kushughulikia suala husika.

IWAPO Tundu Lissu ana ushahidi wa kumfikisha RC Makonda, kama mwanasheria mzoefu, anajua taratibu stahiki za kuchukua. Hili analolifanya la kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, siyo tu ni kinyume cha taaluma yake, pia hamtendei mtuhumiwa haki.

Hivyo nahoji 'personal integrity' yake Tundu Lissu na kiwango chake cha UTU.
Makonda alivyo tumia media kuwachafua watuhumiwa wa madawa mbona hamkuhoji?
Guys let's be honest in this issue, an eye for an eye..
 
Some people are lazy of thinking they are easy to conclude without thinking. Its True Lissu is an opposition politician but this CDM membership cannot limit him as a TLS president to take actions against any person who commit crimes just because the suspected are from other party! This is high level stupidity! No one is above the law be it CHADEMA, CCM, CUF, ACT, what matters is the person committed crime? That's all! Magufuli for instance takes action to CHADEMA or any other opposition party members, do you think he is a political affiliated? If Yes you are right, if No why you guys go against Tundu Lissu to take action against Makonda? Stop your stupidity!

You are missing the point my friend. And mind you, it is not right to refer to other people as lazy thinkers just because they don't share your views on this issue. Lissu was heard complaining that TLS presidency tenure is too short considering the tasks to be accomplished. That said, I thought TLS could have prioritized its tasks. RC Makonda's issue is already in Leaders' Ethics Committee. Pursuing it further before even hearing from the Ethics Committee is wastage of time. Let TLS prioritize its tasks and distance itself from politics
 
Kiingereza kibovu halafu Mtu anajiita mwanasheria anamuita mtu jambazi bila ya kuhukumiwa.
Huyu Lema na Bipolar disorder ataanguka tu kama mnazi,walikuwepo akina Lamwai,atakua Tundu?
 
Just like Makonda's so called war on drugs....I don't see this going anywhere.

For one, it's hard to shake off the accusation that going after him like that isn't politically motivated.

Two, I don't think Tundu Lisu can prove that Paul Makonda is not Paul Makonda but rather he is Daudi Bashite.

So this whole going after him thing is a big 'ol dog and pony show that will yield nothing in the end.

It is just gimmickry that will score a few political popularity points for CHADEMA [yes...TLS is now an auxiliary wing of CDM].
Nilijua hua una akili kumbe hoola[emoji3] [emoji3]
 
Ni afadhali tu angeandika kwa Kiswahili. Angeeleweka zaidi na kuonekana msomi. Hakuwa na haja ya kujitutumua kwa Kiingereza cha kuunga-unga.
Hakuwaandikia ninyi.aliwaandikia wasomi wa sheria wenzake kwenye group lao na wamemuelewa. Hakuileta hapa JF.
 
Back
Top Bottom