barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Kafanya nini katika historia ya taifa hili? Mke wa Slaa ni shujaa zaidi ya Tundu lissu, alipigania upinzani wa kweli tena ktk field sio uvunguni ufipa.Tundu Lissu ni shujaa .
Kafanya nini katika historia ya taifa hili? Mke wa Slaa ni shujaa zaidi ya Tundu lissu, alipigania upinzani wa kweli tena ktk field sio uvunguni ufipa.Tundu Lissu ni shujaa .
It is going to be proven now by the Court of laws . haaaaahaaa the language of a learned brother .ccm mna mambo.begging an assistance from the so called Professor KabudiThe language used here is not of the learned brother. Nobody can be judged as a thug until proven by the Court of Law. TLS you dont have a learned brother as a your president.Shame on you
Kingereza hujui mpuuzi ww hujaelewa lolote hapo
Mama yangu Leo kanifokea kasema pesa zake alizonipeleka tuition ya kiingereza zilipotea bure kwani hajawahi ona nikiongea au kuandika kingereza popote. Ndio nikajitutumua kuandika kumfurahisha. Hata kama hakijanyooka lakini kasema angalau nimejitahidiAndika kiswahili tu we boya
Haaahahah kabisa.huyu mtu ana akili za ziada. AiseeLissu hata kama ungekuwa na vyeti feki, tusingkukagua
Sio ligi hii mkuu,Kamanda Lissu at his best. Where is the Justice Minister when we need him!? MIA!!!!!!
Sawa learned sisterdo. Wameazimia kufungua kesi, jitayarishe kuwa wakili wa Bashite na MaguThe language used here is not of the learned brother. Nobody can be judged as a thug until proven by the Court of Law. TLS you dont have a learned brother as a your president.Shame on you
If it is going to be proven as learned brother you need to wait till that day of proof to call somebody a Thug.It is going to be proven now by the Court of laws . haaaaahaaa the language of a learned brother .ccm mna mambo.begging an assistance from the so called Professor Kabudi
Sababu kaandika kwa kizungu?Haaahahah kabisa.huyu mtu ana akili za ziada. Aisee
Nothing new from you! i xpect you'll talk those.Just like Makonda's so called war on drugs....I don't see this going anywhere.
For one, it's hard to shake off the accusation that going after him like that isn't politically motivated.
Two, I don't think Tundu Lisu can prove that Paul Makonda is not Paul Makonda but rather he is Daudi Bashite.
So this whole going after him thing is a big 'ol dog and pony show that will yield nothing in the end.
It is just gimmickry that will score a few political popularity points for CHADEMA [yes...TLS is now an auxiliary wing of CDM].
Mkuu jingalao mbowe tayari amefunguliwa kesi mahakamani kuhusu biashara ya madawa ya kulevya au mmeifuta kwa kukosa ushahidi?Sijaona majibu hapo....
Moja ....kwa nini TLS hawajaenda vs Mbowe aliyetuhumiwa na Dawa za kulevya?
Mbili Kwa nini hawajaenda au kuongelea majaji waliotuhumiwa kuharibu kesi za ngada??
Umeelewa alichokiandika?Sababu kaandika kwa kizungu?
Lissu keshawajua bavicha, akitaka point yake ionekane ni nzito na apate sapoti kubwa ya bavicha anaandika tu some useless staff in english, kisha bavicha wanakuja na credits kibao.
Sio ligi hii mkuu,
kwamba akiongea fulani basi fulani nae aje aonger kisha mpime nani mkali.
Tundu Lissu:
Dear all,
I've read the discussion on the decision to go after RC Paul Makonda aka Daudi Bashite, etc. with considerable interest ...
Neither should my status or political position for that matter.
To hold otherwise is to render useless the notion of equality before the law. It'll be to sanctify the dangerous notion that some people are, because of their personal or economic or political or some other, status are, to borrow George Orwell's phrase, more equal than others.
... TL.
Please if you can sight the paragraph .Meaning he is associating TLS with politics?
That's very low on TL to associate a professional body with politics, its disgracing the TLS and none (even a layman) should support it.
Hiyo kesi hawezi shinda mkuu!Lazima wote tujue kinachoendelea maana hili ni jukwaa wazi na pana na kubwa kuliko majukwaa yote! Let justice prevail! I have come to understand now as to why every possible effort was employed to try to block his candidacy during TLS election !
Just like Makonda's so called war on drugs....I don't see this going anywhere.
For one, it's hard to shake off the accusation that going after him like that isn't politically motivated.
Two, I don't think Tundu Lisu can prove that Paul Makonda is not Paul Makonda but rather he is Daudi Bashite.
So this whole going after him thing is a big 'ol dog and pony show that will yield nothing in the end.
It is just gimmickry that will score a few political popularity points for CHADEMA [yes...TLS is now an auxiliary wing of CDM].
Sababu kaandika kwa kizungu?
Lissu keshawajua bavicha, akitaka point yake ionekane ni nzito na apate sapoti kubwa ya bavicha anaandika tu some useless staff in english, kisha bavicha wanakuja na credits kibao.