kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,757
- 17,078
- Thread starter
- #21
Alitengeneza picha yake ambayo leo hii imempatia faida ya kuishi ughaibuni!Hahaha

Maneno haya kamwe usiyatamke huko Jamhuri ya watu wa Mara wakikusikia wataondoka la Pua lako mchana kweupe.Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Mpaka muda huu wameondoka na pua za watu wangapi!Maneno haya kamwe usiyatamke huko Jamhuri ya watu wa Mara wakikusikia wataondoka la Pua lako mchana kweupe.
Tunampongeza samia kwa kuwapa kibali cha kuongea walitakalo. Walikuja na kihereheree, matokeo yake wamepoa wenyewee.Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Kipara chako kitakuwa kimeanza kuota nyasi ndo maana antena yako inashindwa kukamata mawimbi vzr...Lissu kosa lake ni nn weee kipara nyasi??Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Kama una uwezo unaotia shaka, usidandie hoja za Lissu utaaibika. Ona sasa huu UHARO uliouandika hapa!Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
kama kawaida yao!Kama una uwezo unaotia shaka, usidandie hoja za Lissu utaaibika. Ona sasa huu UHARO uliouandika hapa!
Mbona hakuhojii. Kuhusuu familia Yako tuliaa weweAmehoji au alikuwa anajaribu kuleta taharuki tu!
Michango kama hii inaharibu sana hoja uliyotoa awali na kuonekana ni porojo tu umesema.Alitengeneza picha yake ambayo leo hii imempatia faida ya kuishi ughaibuni!
Wewe unatakiwa kutulia sababu hujatajwa hapa!Mbona hakuhojii. Kuhusuu familia Yako tuliaa wewe
NA HUU UGONJWA WA KIHERERE HAUNAGA DAWAAna kitu kinaitwa kiherehere!
Lissu hakuwahi kuhoji mambo kama ya udaku wa kina maria yeye siku zote hoja zake ni nzito!Kipara bana yaani watanganyika kuna kosa gani kuuliza mtanganyika mwenzao yupo wapi
Mfuatilie vizuri lissu atakimbia sasa hivi kwenda ubelgiji wafuasi wake mmepoteza imani hata chairman pia amepoteza imani naye!Kipara chako kitakuwa kimeanza kuota nyasi ndo maana antena yako inashindwa kukamata mawimbi vzr...Lissu kosa lake ni nn weee kipara nyasi??
Wewe ndio umepoteza huo uwezo umeanza kumsema mtu wajinga mnaongezeka kwa kasi ya ajabuLissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Bashite anaweza kuwa anajua vizuriRoma alikwenda wapi?
YUpo lumumba!Bashite anaweza kuwa anajua vizuri
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm Lisu asigombee urais, maana wanajua bibi wa kikojani itabidi asaidiwe sana kwenye wizi wa kura. Kama dhalimu mwenyewe alipiga propaganda Kali na vitisho juu kuwa anakubalika na Bado akapora uchaguzi, itakuwa huyo mkojani?Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.
Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Nakuhakikishia kwa huyu lissu ni mwepesi sana na sina hakika kama atapewa nafasi!Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm Lisu asigombee urais, maana wanajua bibi wa kikojani itabidi asaidiwe sana kwenye wizi wa kura. Kama dhalimu mwenyewe alipiga propaganda Kali na vitisho juu kuwa anakubalika na Bado akapora uchaguzi, itakuwa huyo mkojani?