Lissu anazidi kupoteza heshima na ushawishi !

Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Kipara, naona kipara chako kimekosa busara. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama cha upinzani ambacho hakijawai kushika madaraka, lakini anapokuwa kimya unajua kinachokuwa kikitokea kwenye mitandao ya jamii. Huyo ni Lissu tu au Mbowe viongozi wa upinzani wanauliziwa uwepo wao. Sembuse makamu wa Rais?

Binafsi ningemshangaa Lissu kama asingeuliza mahali alipo VP kwa kipindi chote alichotoweka bila taarifa. VP na Rais ni icon ya taifa.
 
Amehoji au alikuwa anajaribu kuleta taharuki tu!
Tuambie taharuki uliyoipata baada ya Lissu kuhoji. Wewe ni wa ajabu sana, ulishidwaje kupata taharuki kwa kutokumuona kiongozi wako uje upate kwa yule anaehoji kutoonekana kwake? PM alitwambia juzi kwamba alienda kutibiwa, yeye leo kanisani kasema alikuwa nje ya nchi kikazi. Je bado una taharuki?
 
Back
Top Bottom