Lissu anazidi kupoteza heshima na ushawishi !

Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Maneno haya kamwe usiyatamke huko Jamhuri ya watu wa Mara wakikusikia wataondoka la Pua lako mchana kweupe.
 
Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Tunampongeza samia kwa kuwapa kibali cha kuongea walitakalo. Walikuja na kihereheree, matokeo yake wamepoa wenyewee.
 
Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Kipara chako kitakuwa kimeanza kuota nyasi ndo maana antena yako inashindwa kukamata mawimbi vzr...Lissu kosa lake ni nn weee kipara nyasi??
 
Kipara bana yaani watanganyika kuna kosa gani kuuliza mtanganyika mwenzao yupo wapi
 
Kama una uwezo unaotia shaka, usidandie hoja za Lissu utaaibika. Ona sasa huu UHARO uliouandika hapa!
 
Attachments

  • 20231209_105026.jpg
    20231209_105026.jpg
    144.2 KB · Views: 1
Kipara chako kitakuwa kimeanza kuota nyasi ndo maana antena yako inashindwa kukamata mawimbi vzr...Lissu kosa lake ni nn weee kipara nyasi??
Mfuatilie vizuri lissu atakimbia sasa hivi kwenda ubelgiji wafuasi wake mmepoteza imani hata chairman pia amepoteza imani naye!
 
Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Wewe ndio umepoteza huo uwezo umeanza kumsema mtu wajinga mnaongezeka kwa kasi ya ajabu

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Lissu aliyekuwa mwenye uwezo mwingi wa kuchachafya viongozi wa taifa hili,
Leo hii lissu amekuwa ni mmoja ya wale wanasiasa uchwara wenye kushinda mtandaoni na kujaribu kuandika vitu visivyoeleweka,
Lissu kila mara alijaribu kutuhabarisha kwamba ana watu ikulu na wapo kwenye idara nyeti ambao humpenyezea taarifa ,lakini leo hii lissu hana tofauti na martin maranja au maria sarungi wote wamekuwa na habari za kuunga unga.
Namuona lissu haminiki tena kitendo cha lissu kuanza kuhoji yu wapi makamu wa raisi kama kijana tu wa kijiweni asiye na vyanzo.

Eti nao ni mkakati wa kuisumbua serikali lissu ameishiwa hatujui macmuga wa ubelgiji nini anapitia mpaka kushuka kwa kiwango hiki wale watu waliokuwa wakimpenyezea siri nafikiri hawapo tena ndio maana kwa hivi sasa anapuyanga tu!
Chadema tafuteni mtu wa kugombea uraisi lissu hauziki tena akisimama hata mbunge mmoja hampati safari hii!
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm Lisu asigombee urais, maana wanajua bibi wa kikojani itabidi asaidiwe sana kwenye wizi wa kura. Kama dhalimu mwenyewe alipiga propaganda Kali na vitisho juu kuwa anakubalika na Bado akapora uchaguzi, itakuwa huyo mkojani?
 
Nakuhakikishia kwa huyu lissu ni mwepesi sana na sina hakika kama atapewa nafasi!
 
Back
Top Bottom