Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,599
- 6,129
Zako sahihi ulizileta lini? Sema alipo mdude kwa usahihiHii kituinaudhi sana hapa JF maana JF inatakiwa uwe mtandao wa kupata habari sahihi
Mangula alipona hata Lisu atapona kama zito Mwakyembe na lowasaJapokuwa ni tetesi lakoni wale wote wanaopanga kumdhuru Lissu wafahamu: truth never dies. Mungu amlinde, na haki itashinda.
Tuzidi kumuweka kwenye maombi TAL.
Lisu akitoka jela afanyiwe vipimo kwenye hospital za kimataifa kubaini vyote alivyolishwa na ibirisi wa ccmIsije ikawa tayari wamemnyesha sumu kama alivyotuambia marekani.Uzuri wamewaambia serikali ya Tanzania kuwa akipata baya wajue watakiona Cha moto.CCM mnasubiliwa Kwa hamu na ICC
Too low! Siko hivyo. Ila tuwe wakweli. Mimi najua mambo kama haya ya Lissu yanamalizwq ndani ya nchi. Sifurahishwi sijui kuwahusisha kina Amsterdam na McAllister wa Bunge la Ulaya. Mbaya sana.Ngombe wa mama
Ni kama ya mangula, lowasa na MwakyembeWameshamKOLIMBA au wameshamMEMBE?
Knowledge brings Wisdom. Siwezi kujibu tusi kwa tusi. Nitakuwa sina tofauti na mtukanaji. #Najitofautisha.🙏🙏🙏Wewe ni wasted sperm
Wambie ibirisi wa ccm waache maovu uonevu na matendo haramu ya kishetani hakuna mzungu atahangaika naoToo low! Siko hivyo. Ila tuwe wakweli. Mimi najua mambo kama haya ya Lissu yanamalizwq ndani ya nchi. Sifurahishwi sijui kuwahusisha kina Amsterdam na McAllister wa Bunge la Ulaya. Mbaya sana.
Acha porojo bwana mdogo,, mtu hawezi kujimaliza kwa kusema ukweli. That's called speaking truth to power, siyo kujiua kisiasa.Sasa yuko jela why umpe sumu?
Lissu kajimaliza mwenyewe…. Sababu ya mudomo
Kwa ujumla…. Kilichobaki sasa ni vita ndani ya ccm
Ndumuz mmejimaliza wenyewe
Kwani yupo mikononi mwa nani? Awapo gerezani anawajibika nani kumlinda?Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Badala uwakataze ibirisi wa ccm waache vitendo haramu vya kishetani unapanga njama za kumtoa mleta mada jukwaaniKama si kweli, tutaomba JF wafute account yako maana umezidi kwa uzushi
Ooh God, thanks!!!Siyo kweli Nina watu ABC pale alipo wanapenda mageuzi na wao ndo wanatoa taarifa zake daily ninazo information Jamaa yuko fiti, ni yeye vitabu na katiba
Britanicca
Ndo mumuue sio?Kuumwa ni kawaida ya kila mwanadamu na hata kufa pia.
Mtikila aliwekewa sumu akiwa jela akapaza sauti wakampeleka hospital mungu akamlinda akapona kama Mwakyembe na lowasaDah! Naikumbuka kauli ya Mtikila "...Mpaka wetu na Zanzbar ni bahari"
Mkoloni kaburu toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu kama ilivyokuwa Africa kusini, watanganyika wanataabika kwa mateso ya mkoloni kaburu, muungano ufe Tanganyika iwe Nchi huruMe naona kama anapoteza mda wake kuwapambania watu wasiojielewa angevuta chake awaache watz wanyoshwe na ccm.
Mwafrika mbele ya tumbo kukua haoni tabu hii ipo Africa nzima unakufa unaacha familia yako inateseka kwa kuzipigania maiti.
Acha watz wanyooshwe bado sana wakichoka hawatalazimishwa kuamka
Keyboard ndiyo huteka kuua kubambikia watu kesi? Keyboard ndiyo huiba kura?ikiwa kweli au uongo una cha kufanya? Keybord worrior ndio tunao haribu hili Taifa.
Kuumwa ukiwa chini ya mateso manyanyaso ya ibirisi wa ccm si kutafuta Habari ni kuamini kuwa shetani wa ccm mmeanza kula uhai kidogo kidogoKuumwa ni ibada, kwani yeye asiumwe sio kiumbe hai. Tafuteni habari zenye mashiko!