Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,468
- 11,249
- Thread starter
-
- #81
Hivi akiitaji kufanyiwa surgery Samia atamruhusu au ndo kufurahi ili afeeHili suala nilihisi tu ipo siku ataugua! Hilo suala hata kama siyo leo lakini kwa hali ya ulemavu wa Lisu akiendelea kukaa Magereza ataugua tu hasa Presha na Kisukari, hatakiwi kabisa kukaa Magereza na kula vyakula vya mule.
Ukimuangalia Lisu, ni mnene sana. Najiuliza, hivi anafanyaje mazoezi ndani ya Magereza kwa sababu hawezi hata kutembea kwa haraka, tembea yake ni ya kujivuta vuta.
Mazoezi ya Lisu ni ya kutembea angalau muda mrefu pamoja na kudhibiti ulaji ili asipate kisukari na presha.
Swali, je, humo Magereza wanampa uhuru wa balanced diet na kufanya mazoezi? Mana Magereza wana ratiba yao ngumu ikizingatiwa mwanzoni alikuwa amewekwa kwa wafungwa wa kunyongwa!
Kuna yule mnywa damu za watanganyika anaitwa abdul the killer ni hatari sana yule kiumbe ana laana kamili kama alivyo mamayeπKuna umuhimu wa kulipiza kisasi hata kwa kudhuru wanae maana yeye kuua wenzake haoni shida.
Tayari serikali imeshafanya yake kwa kumsingizia uhaini wa mtu mmoja tangu nchi ipate uhuru.Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
wameipoozesha kupitia yule Jaji wao but soon will bounce backNRNE haipoi mkuu usije ukajifariji.......
ikiwa kweli au uongo una cha kufanya? Keybord worrior ndio tunao haribu hili Taifa.naomba isiwe kweli mungu wangu
Mama kajisahau ni nguvu za laana al8yo nayo siku zote inazidi kumfanya mtu kuwa mshenzi hadi anguko lake la majuto litakapo mkuta,...Mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.Nakuomba mkuu wa mkoa umlinde spika tuliaView attachment 3393503
Jela siyo pazuri-Lissu! Kwa kifupi jamaa kuchoka kukaa selo. Si alitaka awe kama Mandela. Mara amatumie Amsterdam &Partners LLP kaenda hadi Tume ya Haki za Binadamu ya UN ili Lissu aachiwe huru, kagonga mwamba.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
acha ujingaMmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Jela siyo pazuri-Lissu! Kwa kifupi jamaa kuchoka kukaa selo. Si alitaka awe kama Mandela. Mara amatumie Amsterdam &Partners LLP kaenda hadi Tume ya Haki za Binadamu ya UN ili Lissu aachiwe huru, kagonga mwamba.
Juzi wakamtumia David McAllister wa chama rafiki CDU kule Bunge la Ulaya. Guys, mchakato wa kisheria uchukue mkondo wake. Maridhiano hayana maana na pia hayapaswi kuwepo kwenye masauala ya sheria. Kama anaumwa aepelekwe hospital then arudishwe selo. Tuheshimu sheria.
kwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyoLengo la ccm ni kumuua Lissu na hilo linathibitika kwa kupigwa risasi zaidi ya 30 na kuingia mwilini 16 na hadi leo hakuna kilichofanyika.
Mlimfukuza ubunge na kukataa kumtibu bila ya sababu za kisheria, mmemkamata na kumpa kesi ya uongo ili anyamaze na mummalize huko hilo ndio lengo la serikali na ccm yake.
Kwa yuko mikononi mwa serikali au mwa raia.Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Jela siyo pazuri-Lissu! Kwa kifupi jamaa kuchoka kukaa selo. Si alitaka awe kama Mandela. Mara amatumie Amsterdam &Partners LLP kaenda hadi Tume ya Haki za Binadamu ya UN ili Lissu aachiwe huru, kagonga mwamba.
Juzi wakamtumia David McAllister wa chama rafiki CDU kule Bunge la Ulaya. Guys, mchakato wa kisheria uchukue mkondo wake. Maridhiano hayana maana na pia hayapaswi kuwepo kwenye masauala ya sheria. Kama anaumwa aepelekwe hospital then arudishwe selo. Tuheshimu sheria.
tutatuia sindanoNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Muone huyu mwehu. Kwani yuko magereza ya Chadema. Mlisema hivi hivi mkammalizia kwa risasi. Mnashindwa nini kumnywesha sumu.Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Lucas atafanya tafrija!πΌ
Lucas
Ngombe wa mamaJela siyo pazuri-Lissu! Kwa kifupi jamaa kuchoka kukaa selo. Si alitaka awe kama Mandela. Mara amatumie Amsterdam &Partners LLP kaenda hadi Tume ya Haki za Binadamu ya UN ili Lissu aachiwe huru, kagonga mwamba.
Juzi wakamtumia David McAllister wa chama rafiki CDU kule Bunge la Ulaya. Guys, mchakato wa kisheria uchukue mkondo wake. Maridhiano hayana maana na pia hayapaswi kuwepo kwenye masauala ya sheria. Kama anaumwa aepelekwe hospital then arudishwe selo. Tuheshimu sheria.πππ