Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Lissu alipofikia bado kidogo aonje sumu kwa ulimi.Mwenyekiti hakuwa na mpango na mikutano ya hadhara ila alikuja kushtuliwa na zile shutuma za makamu wake kuhusu nusu mkate morogoro.Tujiulize km makamu mwenyekiti hajui wanalidhiana nn haya ni maridhiano gani???? Km mwenyekiti mikutano yake dakika zote ni kumponda mwendazake na kujisifu alivyokaa gerezani mnategemea nn??? Yani unaruka na chopa unakusanya wanakijiji jua kali kuja kuwaambia ulivyokaa jela??? Mikutano ya Mbowe imekosa hoja wananchi wanasombwa na upepo wa kushangaa chopa
Ila Tundu anamwaga nondo balaa this dude is very educative .elimu anayowapa wananchi ni very important simple easy to grasp ila hadithi za mbowe ni kwa kweli zilipendwa
 
Yupo vizuri sana na CCM wanatumia fursa hizo kujisahihisha baada ya kuwasanua vyema
 
Lissu alipofikia bado kidogo aonje sumu kwa ulimi.Mwenyekiti hakuwa na mpango na mikutano ya hadhara ila alikuja kushtuliwa na zile shutuma za makamu wake kuhusu nusu mkate morogoro.Tujiulize km makamu mwenyekiti hajui wanalidhiana nn haya ni maridhiano gani???? Km mwenyekiti mikutano yake dakika zote ni kumponda mwendazake na kujisifu alivyokaa gerezani mnategemea nn??? Yani unaruka na chopa unakusanya wanakijiji jua kali kuja kuwaambia ulivyokaa jela??? Mikutano ya Mbowe imekosa hoja wananchi wanasombwa na upepo wa kushangaa chopa
Lisu kabla ya kuhutubia huwasiliana na mwenyekiti kila anachokisema kina baraka za mbowe
 
..Napenda haki na usawa kwa vyama vyote.
Mbona hiyo haki unayodai mbona ukuwaambia Wapinzani wakati walivyomzomea Magufuli kipindi anaenda kufungua bunge kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa mgombea wa Uraisi? Au unahisi chuki ya Magu dhidi ya Upinzani ilitokea tu from no where
 
..Kwa kumbukumbu zangu wapinzani walikuwa wanapiga kelele " Maalim Seif Maalim Seif..." siku ambayo Magufuli alifungua bunge.

..Kuna DHULUMA ya uchaguzi ilitokea Zanzibar na wabunge wa Ukawa / Upinzani waliamua ku-protest ndani ya bunge siku Raisi alipofungua bunge.

..Mimi nadhani sekeseke lile halikuwa dhidi ya Magufuli, lilikuwa dhidi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mh.JECHA ambaye alipindua matokeo na kumdhulumu Maalim Seif wa CUF ushindi wake.

..Pia kuzomea, kubeba mabango, kuandamana, mikutano ya hadhara, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza na siasa.

..Kuzomea ni ruksa lakini isiwe kwa kiwango cha kumnyima mpinzani wako haki yake ya kuzungumza au kuendesha mkutano.

..Wapinzani walizomea, halafu wakatoka nje, na Rais Magufuli akahutubia bila tatizo lolote.

..Kama wapinzani wangezomea na kusababisha Magufuli ashindwe kufungua bunge siku iliyopangwa basi wangestahili lawama.

..Wabunge wa chama chochote kutoka nje ya kikao ni njia sahihi ya kuonyesha kupinga au kutokukubaliana na kinachoendelea bungeni. Na hiyo inaweza kufanywa na mbunge mmoja, au wabunge wengi.

NB:

..Kama chuki ya Magufuli dhidi ya wapinzani chanzo chake ni kuzomewa bungeni basi huyo hakustahili kushiriki siasa.

..Pia mambo ya bungeni humalizwa au hushughulikiwa kwa kufuata taratibu za kibunge, na sio kuviziana nje ya bunge na kutekana, kubambikiana kesi, au kupigana risasi.
 
Tundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe

Kuna picha nimeona huko twitter Tundu Antipas Lisu akihutubia Mkutano akiwa kwenye jukwaa mfano wa Kichanja cha kupigia Mahindi wakati wa Mavuno yaani mimesikitika mno

Natoa tu angalizo kwenu nyie akina Pambalu na Mwaipaya

Nawatakia Dominica Njema!
kwa kweli hapa ndo CDM inapoanza kufeli.wengine wanaruka na chopa lkn lissu yuko kwenye vijukwaa vya hovyo hovyo hiyo siyo fair kabisa.
 
..Kwa kumbukumbu zangu wapinzani walikuwa wanapiga kelele " Maalim Seif Maalim Seif..." siku ambayo Magufuli alifungua bunge.

..Kuna DHULUMA ya uchaguzi ilitokea Zanzibar na wabunge wa Ukawa / Upinzani waliamua ku-protest ndani ya bunge siku Raisi alipofungua bunge.

..Mimi nadhani sekeseke lile halikuwa dhidi ya Magufuli, lilikuwa dhidi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mh.JECHA ambaye alipindua matokeo na kumdhulumu Maalim Seif wa CUF ushindi wake.

..Pia kuzomea, kubeba mabango, kuandamana, mikutano ya hadhara, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza na siasa.

..Kuzomea ni ruksa lakini isiwe kwa kiwango cha kumnyima mpinzani wako haki yake ya kuzungumza au kuendesha mkutano.

..Wapinzani walizomea, halafu wakatoka nje, na Rais Magufuli akahutubia bila tatizo lolote.

..Kama wapinzani wangezomea na kusababisha Magufuli ashindwe kufungua bunge siku iliyopangwa basi wangestahili lawama.

..Wabunge wa chama chochote kutoka nje ya kikao ni njia sahihi ya kuonyesha kupinga au kutokukubaliana na kinachoendelea bungeni. Na hiyo inaweza kufanywa na mbunge mmoja, au wabunge wengi.

NB:

..Kama chuki ya Magufuli dhidi ya wapinzani chanzo chake ni kuzomewa bungeni basi huyo hakustahili kushiriki siasa.

..Pia mambo ya bungeni humalizwa au hushughulikiwa kwa kufuata taratibu za kibunge, na sio kuviziana nje ya bunge na kutekana, kubambikiana kesi, au kupigana risasi.
Umemjibu kishabiki Sana kumzoea Raisi ni jambo la kawaida? mpaka Magu kuwachukia Upinzani ni kuwa na series za matukio ikiwepo kumpinga kila jambo analofanya hata kama ni zuri ndio maana Magu akawaona hawana maana watamcheleweshea ikamfanya apige ban mikutano ya kisiasa
 
Magufuli aliwachukia wapinzani kila jambo analolifanya hata kama ni zuri lazima wapinge ndio Magufuli akawaona wapinzani hawana maana
 
Umemjibu kishabiki Sana kumzoea Raisi ni jambo la kawaida? mpaka Magu kuwachukia Upinzani ni kuwa na series za matukio ikiwepo kumpinga kila jambo analofanya hata kama ni zuri ndio maana Magu akawaona hawana maana watamcheleweshea ikamfanya apige ban mikutano ya kisiasa

..Kwenye tukio lile hakuzomewa Raisi au Magufuli, wapinzani walitumia tukio lile ku-protest kuhusu kupinduliwa kwa matokeo ya uchaguzi wa Raisi Zanzibar.

..Pia wapinzani kumpinga Magufuli hakuhalalishi Magufuli kuvunja Katiba na Sheria kwa kuzuia mikutano ya hadhara.

..Pia hakuhalalishi kuwafungulia kesi za uongo, kuwateka, au kuwapiga risasi. Yote hayo ni uvunjifu wa sheria na haki za binadamu.

..Magufuli alitakiwa ashindane na wapinzani wake kwa HOJA na sio kwa kutumia mabavu na ukatili.

..Jambo lingine ni kwamba, Magufuli na CCM walikuwa na majority bungeni. Kwa msingi huo kulikuwa hakuna mpinzani anayeweza kumzuia Magufuli kupitisha miswada, sheria, na kutekeleza mipango na sera zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom