Na ya kumuua ben sanane ? Kwa bastolaLaana ya kumsema sema vibaya Magufuli itawamaliza tu
Ila Tundu anamwaga nondo balaa this dude is very educative .elimu anayowapa wananchi ni very important simple easy to grasp ila hadithi za mbowe ni kwa kweli zilipendwaLissu alipofikia bado kidogo aonje sumu kwa ulimi.Mwenyekiti hakuwa na mpango na mikutano ya hadhara ila alikuja kushtuliwa na zile shutuma za makamu wake kuhusu nusu mkate morogoro.Tujiulize km makamu mwenyekiti hajui wanalidhiana nn haya ni maridhiano gani???? Km mwenyekiti mikutano yake dakika zote ni kumponda mwendazake na kujisifu alivyokaa gerezani mnategemea nn??? Yani unaruka na chopa unakusanya wanakijiji jua kali kuja kuwaambia ulivyokaa jela??? Mikutano ya Mbowe imekosa hoja wananchi wanasombwa na upepo wa kushangaa chopa
Mbowe mbona anatumia ya kifalme?
Wananchi wanataka ujumbe majukwaa siyo muhimumuhimu ni ujumbe tu na ukweli usikike , hayo majukwaa ya kifalme ni kule Ccm
Yupo vizuri sana na CCM wanatumia fursa hizo kujisahihisha baada ya kuwasanua vyemaIla Tundu anamwaga nondo balaa this dude is very educative .elimu anayowapa wananchi ni very important simple easy to grasp ila hadithi za mbowe ni kwa kweli zilipendwa
Lisu kabla ya kuhutubia huwasiliana na mwenyekiti kila anachokisema kina baraka za mboweLissu alipofikia bado kidogo aonje sumu kwa ulimi.Mwenyekiti hakuwa na mpango na mikutano ya hadhara ila alikuja kushtuliwa na zile shutuma za makamu wake kuhusu nusu mkate morogoro.Tujiulize km makamu mwenyekiti hajui wanalidhiana nn haya ni maridhiano gani???? Km mwenyekiti mikutano yake dakika zote ni kumponda mwendazake na kujisifu alivyokaa gerezani mnategemea nn??? Yani unaruka na chopa unakusanya wanakijiji jua kali kuja kuwaambia ulivyokaa jela??? Mikutano ya Mbowe imekosa hoja wananchi wanasombwa na upepo wa kushangaa chopa
Wananchi hawataki ufahari wanataka ujumbe pekeeHadi huruma,kuna mtu kaonyesha kuwa Mpiga picha wake sio ramsi,anatumia simu.
Wewe ni mpenzi kindakindaki wa Upinzani?..tatizo la Magufuli ni kutenda ukatili dhidi ya wapinzani, ndio maana kuna kauli nyingi za kisirani baada ya kifo chake.
Wewe ni mpenzi kindakindaki wa Upinzani?
Mbona hiyo haki unayodai mbona ukuwaambia Wapinzani wakati walivyomzomea Magufuli kipindi anaenda kufungua bunge kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa mgombea wa Uraisi? Au unahisi chuki ya Magu dhidi ya Upinzani ilitokea tu from no where..Napenda haki na usawa kwa vyama vyote.
Mbona hiyo haki unayodai mbona ukuwaambia Wapinzani wakati walivyomzomea Magufuli kipindi anaenda kufungua bunge kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa mgombea wa Uraisi? Au unahisi chuki ya Magu dhidi ya Upinzani ilitokea tu from no where
kwa kweli hapa ndo CDM inapoanza kufeli.wengine wanaruka na chopa lkn lissu yuko kwenye vijukwaa vya hovyo hovyo hiyo siyo fair kabisa.Tundu Antipas Lisu ni Kiongozi wa kitaifa hivyo miundombinu ya maeneo anayofanyia mikutano usalama wake uzingatiwe
Kuna picha nimeona huko twitter Tundu Antipas Lisu akihutubia Mkutano akiwa kwenye jukwaa mfano wa Kichanja cha kupigia Mahindi wakati wa Mavuno yaani mimesikitika mno
Natoa tu angalizo kwenu nyie akina Pambalu na Mwaipaya
Nawatakia Dominica Njema!
Umemjibu kishabiki Sana kumzoea Raisi ni jambo la kawaida? mpaka Magu kuwachukia Upinzani ni kuwa na series za matukio ikiwepo kumpinga kila jambo analofanya hata kama ni zuri ndio maana Magu akawaona hawana maana watamcheleweshea ikamfanya apige ban mikutano ya kisiasa..Kwa kumbukumbu zangu wapinzani walikuwa wanapiga kelele " Maalim Seif Maalim Seif..." siku ambayo Magufuli alifungua bunge.
..Kuna DHULUMA ya uchaguzi ilitokea Zanzibar na wabunge wa Ukawa / Upinzani waliamua ku-protest ndani ya bunge siku Raisi alipofungua bunge.
..Mimi nadhani sekeseke lile halikuwa dhidi ya Magufuli, lilikuwa dhidi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mh.JECHA ambaye alipindua matokeo na kumdhulumu Maalim Seif wa CUF ushindi wake.
..Pia kuzomea, kubeba mabango, kuandamana, mikutano ya hadhara, ni sehemu ya uhuru wa kujieleza na siasa.
..Kuzomea ni ruksa lakini isiwe kwa kiwango cha kumnyima mpinzani wako haki yake ya kuzungumza au kuendesha mkutano.
..Wapinzani walizomea, halafu wakatoka nje, na Rais Magufuli akahutubia bila tatizo lolote.
..Kama wapinzani wangezomea na kusababisha Magufuli ashindwe kufungua bunge siku iliyopangwa basi wangestahili lawama.
..Wabunge wa chama chochote kutoka nje ya kikao ni njia sahihi ya kuonyesha kupinga au kutokukubaliana na kinachoendelea bungeni. Na hiyo inaweza kufanywa na mbunge mmoja, au wabunge wengi.
NB:
..Kama chuki ya Magufuli dhidi ya wapinzani chanzo chake ni kuzomewa bungeni basi huyo hakustahili kushiriki siasa.
..Pia mambo ya bungeni humalizwa au hushughulikiwa kwa kufuata taratibu za kibunge, na sio kuviziana nje ya bunge na kutekana, kubambikiana kesi, au kupigana risasi.
Umemjibu kishabiki Sana kumzoea Raisi ni jambo la kawaida? mpaka Magu kuwachukia Upinzani ni kuwa na series za matukio ikiwepo kumpinga kila jambo analofanya hata kama ni zuri ndio maana Magu akawaona hawana maana watamcheleweshea ikamfanya apige ban mikutano ya kisiasa